God is ready to hear and answer our prayers when we come to Him in humility and faith. Mungu yuko tayari kusikia maombi yetu tukija kwake kwa unyenyekevu na imani. {By Pastor P Chuwa}
Psalm 139:7-12, Luke 17:1-4, Joel 2:15-17 NIV (Zaburi 139:7-12, Luka 17:1-4, Yoeli 2:15-17)
14-02-2018
Repent and return to God. Tubu na umrudie Mungu. {By Pastor P. Chuwa}
Hebrews 13:10-16 NIV (Waebrania 13:10-16)
13-02-2018
Let us indeed praise God for our salvation and do good to others. Tumsifu Mungu kwa wokovu huu na tuishi maisha yanayompendeza Mungu. {By Pastor P Chuwa}
Luke 9:18-22 NIV (Luka 9:18-20)
12-02-2018
Thank God for His plan of salvation through Jesus Christ which is open for all...Tumshukuru Mungu kwa mpango wake kwa watu wote, wa kutukomboa kwa njia ya Yesu Kristo. {By Pastor P Chuwa}
Psalm 31:1-5, Hebrews 13:10-16, Matthew 17:9-12 NIV
11-02-2018
Jesus continues to teach his disciples about his death and resurrection. Yesu anaendelea kuwafundisha wanafunzi wake kuhusu kufa na kufufuka kwake. {By Pastor P. Chuwa}
Jeremiah 22:29 NIV (Yeremia 22:29)
10-02-2018
Let us be prepared to heed God’s warnings in the Bible and change our behavior when necessary..Mungu atusaidie tuwe tayari kutubu dhambi na kubadilisha mwenendo wetu. { By Pastor Chuwa}
Isaiah 55:6-11 NIV (Isaya 55:6-11)
09-02-2018
God’s Word is powerful and effective. Neno la Mungu lina nguvu na uwezo. {By Pastor Chuwa}
Isaiah 40:6-8 NIV (Isaya 40:6-8)
08-02-2018
God’s Word is eternal.. Neno la Mungu ni la milele. {By Pastor P. Chuwa}
Colossians 3:16-17 (Wakolosai 3:16-17)
07-02-2018
God’s Word in the Bible is our guide for life. Neno la Mungu ndani ya Biblia linatuongoza maishani. {By Pastor P. Chuwa}
Colossians 3:16-17 NIV (Wakolosai 3:16-17)
06-02-2018
We need to read and meditate upon God’s Word daily. Tunahitaji kusoma na kutafakari Neno la Mungu kila siku. {By Pastor P Chuwa}