Date: 
01-02-2018
Reading: 
Jeremiah 9:23-24 NIV (Yeremia 9:23-24)

THURSDAY  1ST FEBRUARY 2018 MORNING                                    

Jeremiah 9:23-24  New International Version (NIV)

23 This is what the Lord says:

“Let not the wise boast of their wisdom
    or the strong boast of their strength
    or the rich boast of their riches,
24 but let the one who boasts boast about this:
    that they have the understanding to know me,
that I am the Lord, who exercises kindness,
    justice and righteousness on earth,
    for in these I delight,”
declares the Lord.

God loves the humble. Boasting about our own achievements is not good. Rather we should thank God for His blessings to us. God is great and always worthy of our praise. 

ALHAMISI TAREHE 1 FEBRUARI 2018 ASUBUHI                             

YEREMIA 9:23-24

23 Bwana asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake; 
24 bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni Bwana, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema Bwana, 

Mungu anapenda watu wanyenyekevu. Kujisifu haipendezi. Kama tunaona tuna sifa au mafanikio yoyote, iwe kwamba ni kwa uweza wa Mungu tu. Turudishe shukrani kwa Mungu. Mungu ametuwezesha. Mungu ni mkuu na anastahili sifa na shukrani zetu kila wakati.