Isaiah 55:6-11 NIV (Isaya 55:6-11) - 09-02-2018
God’s Word is powerful and effective. Neno la Mungu lina nguvu na uwezo. {By Pastor Chuwa}
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 04 FEBRUARI, 2018
SOMO LINALOTUONGOZA SIKU YA LEO NI NENO LA MUNGU LINA NGUVU
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna mgeni aliyetufikia na cheti.