Date: 
20-04-2017
Reading: 
Hebrews 4:14-16 (NIV)

THURSDAY 20TH APRIL 2017 MORNING                                   

Hebrews 4:14-16  (NIV)

Jesus the Great High Priest

14 Therefore, since we have a great high priest who has ascended into heaven,[a] Jesus the Son of God, let us hold firmly to the faith we profess. 15 For we do not have a high priest who is unable to empathize with our weaknesses, but we have one who has been tempted in every way, just as we are—yet he did not sin. 16 Let us then approach God’s throne of grace with confidence, so that we may receive mercy and find grace to help us in our time of need.

Footnotes:

  1. Hebrews 4:14 Greek has gone through the heavens

Thank God that we can come freely to Him through Jesus Christ. Jesus is like a bridge between we sinful people and a holy God.  Jesus understands our weakness and is able to help us in our time of need. Through the death and resurrection of Jesus Christ we have free access to God.

Thank God for this great privilege. 

ALHAMISI TAREHE 20 APRILI 2017

WAEBRANIA 4:14-16

 

14 Basi, iwapo tunaye kuhani mkuu aliyeingia katika mbingu, Yesu, Mwana wa Mungu, na tuyashike sana maungamo yetu. 
15 Kwa kuwa hamna kuhani mkuu asiyeweza kuchukuana nasi katika mambo yetu ya udhaifu; bali yeye alijaribiwa sawasawa na sisi katika mambo yote, bila kufanya dhambi. 
16 Basi na tukikaribie kiti cha neema kwa ujasiri, ili tupewe rehema, na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.

Kupitia Yesu Kristo tunawezakufika kwa Mungu Baba. Yesu Kristo ni kama daraja kati ya Mungu Mtakatifu na Binadamu wenye dhambi. Kwa njia ya Kufa na Kufufuka kwake Yesu Kristo, alifungulia njia ya kumkaribia Mungu. Mshukuru Mungu kwa neema hii.