Date: 
30-05-2019
Reading: 
Psalm 110:1-7, Acts 1:1-5, Luke 24:50-53

THURSDAY DAY 30TH MAY ASCENSION DAY.

JESUS  CHRIST ASCENDED IN HIS GLORY

Psalm 110:1-7, Acts 1:1-5, Luke 24:50-53

Psalm 110

Of David. A psalm.

The Lord says to my lord:[a]

“Sit at my right hand
    until I make your enemies
    a footstool for your feet.”

The Lord will extend your mighty scepter from Zion, saying,
    “Rule in the midst of your enemies!”
Your troops will be willing
    on your day of battle.
Arrayed in holy splendor,
    your young men will come to you
    like dew from the morning’s womb.[b]

The Lord has sworn
    and will not change his mind:
“You are a priest forever,
    in the order of Melchizedek.”

The Lord is at your right hand[c];
    he will crush kings on the day of his wrath.
He will judge the nations, heaping up the dead
    and crushing the rulers of the whole earth.
He will drink from a brook along the way,[d]
    and so he will lift his head high.

Footnotes:

  1. Psalm 110:1 Or Lord
  2. Psalm 110:3 The meaning of the Hebrew for this sentence is uncertain.
  3. Psalm 110:5 Or My lord is at your right hand, Lord
  4. Psalm 110:7 The meaning of the Hebrew for this clause is uncertain.

 

Acts 1:1-5 New International Version (NIV)

Jesus Taken Up Into Heaven

1 In my former book, Theophilus, I wrote about all that Jesus began to do and to teach until the day he was taken up to heaven, after giving instructions through the Holy Spirit to the apostles he had chosen.After his suffering, he presented himself to them and gave many convincing proofs that he was alive. He appeared to them over a period of forty days and spoke about the kingdom of God. On one occasion, while he was eating with them, he gave them this command: “Do not leave Jerusalem, but wait for the gift my Father promised, which you have heard me speak about. For John baptized with[a] water, but in a few days you will be baptized with[b] the Holy Spirit.”

Footnotes:

  1. Acts 1:5 Or in
  2. Acts 1:5 Or in

 

Luke 24:50-53 New International Version (NIV)

The Ascension of Jesus

50 When he had led them out to the vicinity of Bethany, he lifted up his hands and blessed them. 51 While he was blessing them, he left them and was taken up into heaven. 52 Then they worshiped him and returned to Jerusalem with great joy. 53 And they stayed continually at the temple, praising God.

 

Today is 40 days, or almost 6 weeks, after Easter Sunday. We remember how Jesus ascended to heaven to be with God the Father. Jesus gave His apostle a job to do. They were to preach the gospel and baptize converts and teach them more about the Christian faith. Jesus told the Apostle’s to wait for the coming of the Holy Spirit before they began this work.

When Jesus ascended to heaven two angels appeared to the Apostles and told them that Jesus would come back to earth in glory.

Let us continue Jesus’ work on earth as we prepare for His Second coming.


ALHAMISI TAREHE 30 MEI 2019 SIKU YA KUPAA KWAKE BWANA YESU KRISTO

Wazo kuu: AMEPAA KATIKA UTUKUFU WAKE

Zaburi 110:1-7, Matendo 1:1-5, Luka 24:50-53

Zaburi 110:1-7

1 Neno la Bwana kwa Bwana wangu, Uketi mkono wangu wa kuume, Hata niwafanyapo adui zako Kuwa chini ya miguu yako. 
Bwana atainyosha toka Sayuni Fimbo ya nguvu zako. Uwe na enzi kati ya adui zako; 
Watu wako wanajitoa kwa hiari, Siku ya uwezo wako; Kwa uzuri wa utakatifu, Tokea tumbo la asubuhi, Unao umande wa ujana wako. 
Bwana ameapa, Wala hataghairi, Ndiwe kuhani hata milele, Kwa mfano wa Melkizedeki. 
Bwana yu mkono wako wa kuume; Ataseta wafalme, Siku ya ghadhabu yake. 
Atahukumu kati ya mataifa, Ataijaza nchi mizoga; Ataseta kichwa katika nchi nyingi. 
Atakunywa maji ya mto njiani; Kwa hiyo atakiinua kichwa chake.

 

Matendo 1:1-5

1 Kitabu kile cha kwanza nalikiandika, Theofilo, katika habari ya mambo yote aliyoanza Yesu kufanya na kufundisha, 
hata siku ile alipochukuliwa juu, alipokuwa amekwisha kuwaagiza kwa Roho Mtakatifu wale mitume aliowachagua; 
wale aliowadhihirishia nafsi yake, kwa dalili nyingi, baada ya kuteswa kwake, ya kwamba yu hai, akiwatokea muda wa siku arobaini, na kuyanena mambo yaliyouhusu ufalme wa Mungu. 
Hata alipokuwa amekutana nao aliwaagiza wasitoke Yerusalemu, bali waingoje ahadi ya Baba, ambayo mlisikia habari zake kwangu; 
ya kwamba Yohana alibatiza kwa maji, bali ninyi mtabatizwa katika Roho Mtakatifu baada ya siku hizi chache. 
 

Luka 24:50-53

50 Akawaongoza mpaka Bethania, akainua mikono yake akawabariki. 
51 Ikawa katika kuwabariki, alijitenga nao; akachukuliwa juu mbinguni. 
52 Wakamwabudu; kisha wakarudi Yerusalemu wenye furaha kuu. 
53 Nao walikuwa daima ndani ya hekalu, wakimsifu Mungu.

 

Leo ni siku ya kukumbuka kupaa  kwa Yesu Kristo. Ni siku 40, au karibu wiki 6 ,baada siku ya Ufufuo, yaani Jumapili ya Pasaka. Yesu alikuwa duniani kwa siku 40 baada ya kufufuka tena. Aliwapa mitume kazi ya kufanya ya kuhubiri Injili, kubatiza na kufundisha waamini. Aliwaambia wasubiri kupewa Roho Mtaktifu kabla ya kuanza kazi hii.

Wakati Yesu alipopaa malaika wawili waliwaambia Mitume kwamba Yesu atarudi tena duniani kwa utukufu.

Tutumie vizuri muda wetu hapa duniani. Tujiandae kumpokea Yesu Kristo akirudi tena duniani na tuendeleze kazi ya kuhubiri Injili.