TUESDAY 21ST AUGUST 2018 MORNING
Proverbs 11:8-11 New International Version (NIV)
8 The righteous person is rescued from trouble,
and it falls on the wicked instead.
9 With their mouths the godless destroy their neighbors,
but through knowledge the righteous escape.
10 When the righteous prosper, the city rejoices;
when the wicked perish, there are shouts of joy.
11 Through the blessing of the upright a city is exalted,
but by the mouth of the wicked it is destroyed.
This week we have the theme “ The use of the tongue”. We speak many words every day. Let us think about the words we speak. Our words reflect what is in our hearts. Notice the effect of bad words mentioned in verse 8 and 11 above.
Let us seek instead to be lead by the Holy Spirit so that our words and deeds honour God and bring blessings to other people.
JUMANNE TAREHE 21 AGOSTI 2018 ASUBUHI
MITHALI 11:8-11
8 Mwenye haki huokolewa katika dhiki, Na mtu mwovu ataiingia badala yake.
9 Asiyemcha Mungu humpoteza jirani yake kwa kinywa chake; Bali wenye haki watapona kwa maarifa.
10 Wenye haki wasitawipo, mji hufurahi; Waovu waangamiapo, watu hupiga kelele.
11 Mji hutukuzwa kwa mbaraka wa mwenye haki; Bali mji hupinduliwa kwa kinywa cha mwovu.
Wiki hii tuna wazo kuu “ Matumizi ya Ulimi”. Tunasema maneno mengi kila siku. Tutafakari kuhusu maneno yetu. Maneno yetu yanatambulisha yale yalio moyoni.
Katika mistari 8 na 11 hapo juu tunasoma madhara ya maneno mabaya.
Mungu atusaidie tuongozwe na Roho Mtakatifu ili maneno na matendo yetu yamsifu Mungu na kuleta baraka kwa jamii.