God requires us to give ourselves to Him before we give what we have. Mungu anahitaji tujitoe miili na roho zetu kwake, kabla ya kumtolea mali zetu. {Joseph Mlaki, Theologian}
  Jeremiah 22:13-14
  21-09-2019
  Use the power of your position justly. Tumia mamlaka uliyonayo kutenda haki. {Joseph Mlaki, Theologian}
  Psalm 15:1-5 (Zaburi 15:1-5)
  20-09-2019
  God also expects to be praised by the life we live outside the church building. Mungu anataka maisha yetu nje ya nyumba ya ibada yamtukuze yeye. {Joseph Mlaki, Theologian}
  Zechariah 8:16-17
  19-09-2019
  Prophet Zechariah not only condemns open wrongs, but also the hidden purposes of evil. Nabii Zakaria hakemei tu yale maovu yanayoonekana kwa macho, bali pia makusudio ya uovu yaliyofichika mioyoni mwa wanadamu. {Joseph Mlaki, Theologian}  
  1 Peter 3:10-12 (1 Petro 3:10-12)
  11-09-2019
  Turn away from evil and do good. Tuache maovu na kutenda mema.
  1 Samuel 7:5-11
  03-09-2019
  If you repent your sins, God will forgive you. Ukitubu dhambi zako, Mungu atakusamehe. {Pastor P Chuwa}
  1 Kings 21:27-29 (1 Wafalme 21:27-29)
  02-09-2019
  Let us be humble and repent our sins. Tuwe tayari kujishusha na kutubu dhambi zetu. {Pastor P. Chuwa}
  Jeremiah 18:13-17
  30-08-2019
  Let God be the priority in your life. Mpe Mungu kipaombele katika maisha yako. {Pastor P Chuwa} 
  