Amos 4:1-8
19-11-2020
Pay attention to God's words for there will be no excuses on Judgement day. Ziangatia maneno ya Mungu, maana hakutakuwa na visingizio siku ya hukumu.../Pastor J Mlaki.
2 Peter 3:1-7
17-11-2020
God's words will come to pass. Neno la Mungu litatimia kila wakati.,,/Pastor J. Mlaki
JOHN15:19-22 (YOHANA 15:19-22)
16-11-2020
Jesus Christ helps Christians endure the Hostility of the world. Yesu Kristo anasaidia Wakristo kuvumilia chuki za ulimwengu.
JOB 33:1-12 (Ayubu 33:1-12)
13-11-2020
God is a lot greater than our thinking. Mungu ni mkuu kuliko tunavyoweza kufikiri.../Pastor J. Mlaki
Matthew 24:45-51
11-11-2020
God has given each of us a responsibility. Mungu amempa kila mtu jukumu la kufanya. /Pastor J Mlaki
Mark 13:32-37
09-11-2020
Jesus will come when we do not expect, we must be ready. Yesu atararudi siku tusioijua, lazima tuwe tayari. /Pastor J. Mlaki
Deuteronomy 33:1-3 ( Kumbukumbu 33:1-3)
05-11-2020
God blessed his people in all aspects. Mungu alibariki watu wake kwa kila hali. /Pastor J. Mlaki
Proverbs 19:27-30
02-11-2020
Wisdom comes by spending time listening to God.
Proverbs 30:5-6 (Mithali 30:5-6)
30-10-2020
God's word stand's on its own. Neno la Mungu halihitaji msaada wetu. /Pastor J Mlaki.
Hebrews 3:1-2
26-10-2020
Our calling is heavenly. Wito wetu ni wa kimbingu. /Pastor J. Mlaki

Pages