Jesus desires that we follow Him.  Yesu anapenda tumfuate yeye.  /Pastor J Mlaki
  Acts 17:24-29 (Matendo)
  16-06-2021
  We need to respond to the call of God seeking the lost. Tunahitaji kuitikia wito wa Mungu kutafuta waliopotea. /Pastor J Mlaki.
  Ezekiel 44:1-12
  15-06-2021
  Are you sure that the vine you are connected in is the proper one? Una hakika umeunganishwa na mzabibu wa kweli?  / Pastor J. Mlaki
  John 5:22-24 (Yohana) 
  14-06-2021
  Jesus Christ has pronounced us redeemed by His own, precious blood. Yesu Kristo ametuhakikishia ukombozi kwa damu yake ya thamani. ../Pastor J. Mlaki
  Yoshua 24:19-24  (Joshua)
  12-06-2021
   Je, unamtumikia Mungu kweli bila kuchanganya na ‘miungu’ wengine.   Are you truly serving God without mixing with Him other ‘gods’.  /C. Swai, Elder
  Mathayo 5:1-3  (Mathew 5:1-3)
  11-06-2021
  Tujione maskini kwa  maana ya kwamba tunamhitaji Yesu Kristo wakati wote.   Let us see ourselves as poor in the sense that we need Jesus Christ all the time.  /Heri Buberwa
  Kumbukumbu la Torati 5:22-27 (Deuteronomy)
  10-06-2021
  Mungu anapenda wale wanaomcha, na huwabariki.  God loves those who fear Him, and blesses them. /Heri Buberwa
  Waebrania 10:23-25  (Hebrews 10:23-25)
  09-06-2021
  Tunapaswa kuwa wavumilivu katika maisha yetu ya ufuasi.  We must be patient in our life of discipleship.  /Heri Buberwa
  Kutoka 34:1-4  (Exodus 34:1-4)
  08-06-2021
  Mungu anawatumia makuhani wake kuhubiri habari za wokovu.   God uses his priests to preach the message of salvation.   / Heri Buberwa
  Yohana 7:1-9 (John 7:1-9)
  07-06-2021
  Tunaitwa kumpokea na kumkubali Yesu. We are called to receive and accept Jesus.  /Heri Buberwa
  