Kanisa la Kristo litawaliwe na neno lake, na siyo mawazo yetu. Christ's church should be governed by his word, not our own ideas. /Heri Buberwa
1 Wakorintho 2:1-5 (1 Corinthians 2:1-5)
02-06-2021
Kuishi kwetu na kazi zetu viwe ni kwa kumtegemea Mungu na siyo akili zetu. Our life and work should be based on God and not our intellect. /Heri Buberwa
Matendo 2:14-21 (Acts 2:14-21)
29-05-2021
Tudumu katika ahadi ya Mungu kuwa nasi maishani kwa nguvu ya Roho Mtakatifu. Abide in God's promise to be with us in life by the power of the Holy Spirit. /Heri Buberwa
1 Samweli 2:1-10 (1Samuel 2:1-10)
28-05-2021
Roho mtakatifu anatuwezesha. The Holy Spirit enables us. /Heri Buberwa
Matendo 8:14-17 (Acts 8:14-17)
27-05-2021
Roho Mtakatifu ndiye anayetuwezesha kuliishi neno la Kristo. The Holy Spirit enables us to live the word of Christ. /Heri Buberwa
Yeremia 31:31-34 (Jeremiah 31:31-34)
26-05-2021
Roho Mtakatifu nguvu yetu. The Holy Spirit is our strength. /Heri Buberwa
Marko 12:35-36
25-05-2021
Mtegemee Roho Mtakatifu akushindie vita vyako. Rely on the Holy Spirit to win your battles. /Heri Buberwa
Zab 11:1-7, Yer 31:31-34, *1Kor 12:4-11*
24-05-2021
Kuenea kwa Roho Mtakatifu. /Heri Buberwa
Isaya 64:1-2
21-05-2021
Hukumu ya mwisho itakuwepo. Toba iwe kwetu, la sivyo tutaangamia. The final judgment will happen. We have to repent, or we will perish. /Heri Buberwa
Luke 24:44-49
20-05-2021
Tunawajibika kukaa miguuni pa Yesu tukitenda jinsi anavyotuagiza. We have a responsibility to sit at Jesus' feet and do as he commands. /Heri Buberwa