Matthew 14:1-12
03-03-2021
God calls us to turn from behavior that is wrong, and to turn back to him. ​​​​​​​Mungu anatuita ili tuziache njia zilizo mbaya, na kumgeukia yeye.../Pastor J. Mlaki
Luka 20:9-16
02-03-2021
Hivyo, tunapaswa kujitoa na kumtumikia ili tusipatwe na ile hukumu. Believers are to submit and serve Him, or we will face His certain judgment.. ../Pastor J. Mlaki
Mathayo 2:13-15
01-03-2021
Ukatili ni uovu... /Heri Buberwa
Luke 22:40-46
26-02-2021
Pray so that you may not fall into temptations. Ombeni ili msianguke majaribuni..../Pastor J. Mlaki
Psalm 91:11-16 (Zaburi 91:11-16)
25-02-2021
God takes care of His Children. Mungu anawalinda watoto wake.../Pastor J. Mlaki
James 1:1-4 (Yakobo 1:1--4)
24-02-2021
Temptations and trials are to strengthen our faith in Christ. Majaribu yapo kuimarisha Imani yetu katika Yesu Kristo.../Pastor J Mlaki
Jeremiah 15:19-21
23-02-2021
If we trust in God we will overcome temptations. Tukimtegemea Mungu tutashinda majaribu. ../Pastor J Mlaki
Yakobo 1:12-19 (James 1:12-18)
22-02-2021
Tukimtegemea Mungu tutashinda majaribu. If we trust in God we will overcome temptations.../Heri Buberwa
LUKA 11:29-32
19-02-2021
Kutubu na kurejea kwa Bwana. Repentance and return to the Lord../ Heri Buberwa
Maombolezo 5:19-22 (Lamentations 5:19-22)
18-02-2021
Tutubu dhambi zetu na kuishi maisha yenye ushuhuda. Let us repent of our sins and live a life of testimony../Heri Buberwa

Pages