We need Jesus to enable us to follow God’s laws. Tunamhitaji Yesu ili atuwezeshe kuzifuata sheria za Mungu. /Pastor J Mlaki
2Samuel 9:9-13
29-06-2021
As Christians, we should show kindness to others. Wakristo tunapaswa kuwatendea wema watu wengine. /Pastor J. Mlaki.
2 SAMWELI 9:1-8 (Samwel)
28-06-2021
Tunaitwa kutenda haki na Huruma. We are called to be merciful and just. /C Swai, Elder
1WAFALME 6:11-13 (KINGS)
26-06-2021
Katika mahekalu tunayomjengea Mungu tunapaswa kufuata maagizo yake. In the temples we build for God we must follow His instructions. /C. Swai, Elder.
Philippians 2:1-4 (Wafilipi)
25-06-2021
We should have the same humble and selfless attitude as Jesus Christ. Tunahitaji kuwa na tabia ya unyenyekevu na kujitoa kwa wengine kama alivyofanya Yesu Kristo. /Pastor J. Mlaki
Mathew 12:30
23-06-2021
Jesus says, there are no neutral hearts to those who are in Him. Yesu anasema kuwa, hakuna mioyo iliyo vuguvugu kwa wale walio ndani yake. /Pastor J Mlaki.
Ezekiel 37:20-22
22-06-2021
The Lord Jesus Christ wants His people to be united. Bwana Yesu Kristo anataka watu wake waishi katika umoja. /Pastor J. Mlaki.
Romans 15:1-6 (Warumi)
21-06-2021
God desires His people to love each other and walk in harmony. Mungu anapenda watu wake wapendane na kuenenda katika umoja. /Pastor J Mlaki.
Luka 17: 31-37
19-06-2021
Uwe tayari kwa kuja kwa ufalme wa Mungu. Be ready for the coming of the kingdom of God. /C. Swai, Elder
Matthew 4:18-22 (Mathayo)
17-06-2021
Jesus desires that we follow Him. Yesu anapenda tumfuate yeye. /Pastor J Mlaki