Jumapili ya tarehe 27/9/2015, watoto wa Azaniafront walikuwa na sikukuu ya Mikaeli kama ilivyo kawaida yakila mwaka. Watoto walifanya maonyesho ya kukariri Mistari ya Biblia, Ngonjera, Nyimbo na kushiri katika michezo na chakula cha pamoja. Watoto walishiriki kwa furaha kama inavyoonekana katika picha zifuatavyo.
Kwaya ya matarumbeta haikuwa nyuma kuwasindikiza watoto lkatika sikukuu ya mikaeli
na watoto
Mchungaji Stephen akiwatunukia zawadi walimu wa ibada ya kingereza kwa kazi nzuri
walioifanya kwa kuwalisha watoto neno la mungu.
Mmoja wa walimu wa ibada ya kingereza akitoa pongezi kwa wazazi wanaowaruhusu
watoto wao kuja kanisani na kumtumikia mungu.
Mtoto akiombea sadaka ibada ya kingereza katika sikukuu ya mikaeli na watoto
Mtoto akipewa zawadi ya maudhurio mazuri katika ibada ya kingereza
Mtoto akipiga ngoma wakati wa ibada ya kiswahili ikiingia ibadani.
Mtoto akisoma matangazo katika ibada ya kingereza sikukuu ya mikaeli na watoto.
Mtoto akisoma somo katika ibada ya kiswahili.
Mtoto wa ibada ya kiswahili akisoma mstari wa Moyo siku ya mikaeli na watoto
Waalimu wa ibada ya kingereza katika picha ya pamoja.
Waalimu wa ibada ya kingereza wakifurahia jambo.
Watoto waibada ya kingereza na kiswahili wakibadilkishana mawazo katika sikukuu ya
mikaeli na watoto.
Watoto wa ibada ya kingereza wakiimba wimbo katika sikukuu ya mikaeli na watoto
Watoto wa ibada ya kiswahili wakiimba na kucheza katika sikukuu ya mikaeli na watoto
Watoto wa ibada ya kiswahili wakiingia ibadani kwa maandamano wakiongozwa na
mwalimu katika sikukuu ya mikaeli na watoto
Watoto wa ibada ya kiswahili wakiingia ibadani kwa nyimbo.
Watoto wa ibada ya kiswahili wakisoma somo katika sikukuu ya mikaeli na watoto
Watoto waibada ya kingereza na kiswahili wakibadilkishana mawazo katika sikukuu ya
mikaeli na watoto
Watoto wakiimba katika ibada ya kingereza
Watoto wakiwa katika foleni ya kuingia kwenye mchezo.
Watoto wakicheza