Date: 
03-05-2021
Reading: 
Isaiah 42:10-13

MONDAY 3rd MAY 2021, MORNING

Isaiah 42:10-13 New International Version

Song of Praise to the Lord

10 Sing to the Lord a new song,
    his praise from the ends of the earth,
you who go down to the sea, and all that is in it,
    you islands, and all who live in them.
11 Let the wilderness and its towns raise their voices;
    let the settlements where Kedar lives rejoice.
Let the people of Sela sing for joy;
    let them shout from the mountaintops.
12 Let them give glory to the Lord
    and proclaim his praise in the islands.
13 The Lord will march out like a champion,
    like a warrior he will stir up his zeal;
with a shout he will raise the battle cry
    and will triumph over his enemies.

Read full chapter

Singing and praising God is the only thing we are given to do on earth and in heaven. It is therefore a very important factor in our worship and in our lives as a whole. Do you praise God with songs?

 

JUMATATU TAREHE 3 MEI 2021, ASUBUHI

ISAYA 42:10-13

10 Mwimbieni Bwana wimbo mpya, Na sifa zake tokea mwisho wa dunia; Ninyi mshukao baharini, na vyote vilivyomo, Na visiwa, nao wakaao humo.
11 Jangwa na miji yake na ipaze sauti zao, Vijiji vinavyokaliwa na Kedari; Na waimbe wenyeji wa Sela, Wapige kelele toka vilele vya milima.
12 Na wamtukuze Bwana, Na kutangaza sifa zake visiwani.
13 Bwana atatokea kama shujaa; Ataamsha wivu kama mtu wa vita; Atalia, naam, atapiga kelele; Atawatenda adui zake mambo makuu.

Kumwimbia na kumsifu Mungu, ndio jambo pekee tumepewa kufanya duniani na mbinguni. Kwa hiyo ni jambo muhimu sana katika ibada zetu na maisha yetu kwa ujumla. Je, unamsifu Mungu kwa nyimbo?