FRIDAY 5TH FEBRUARY 2021 MORNING
Romans 4:20-25 New International Version (NIV)
20 Yet he did not waver through unbelief regarding the promise of God, but was strengthened in his faith and gave glory to God, 21 being fully persuaded that God had power to do what he had promised. 22 This is why “it was credited to him as righteousness.” 23 The words “it was credited to him” were written not for him alone, 24 but also for us, to whom God will credit righteousness—for us who believe in him who raised Jesus our Lord from the dead. 25 He was delivered over to death for our sins and was raised to life for our justification.
We are saved by grace through faith; and a life of faith will bring glory to God. The more we trust God and obey Him for His honor and glory, the stronger our faith will become.
IJUMAA TAREHE 5 FEBRUARI 2021 ASUBUHI
WARUMI 4:20-25
20 Lakini akiiona ahadi ya Mungu hakusita kwa kutokuamini, bali alitiwa nguvu kwa imani, akimtukuza Mungu;
21 huku akijua hakika ya kuwa Mungu aweza kufanya yale aliyoahidi.
22 Kwa hiyo ilihesabiwa kwake kuwa ni haki.
23 Walakini haikuandikwa kwa ajili yake tu kwamba ilihesabiwa kwake;
24 bali na kwa ajili yetu sisi mtakaohesabiwa vivyo hivyo, sisi tunaomwamini yeye aliyemfufua Yesu Bwana wetu katika wafu;
25 ambaye alitolewa kwa ajili ya makosa yetu, na kufufuliwa ili mpate kuhesabiwa haki.
Tunaokolewa kwa neema kwa njia ya imani; na maisha yetu ya imani humpa Mungu utukufu. Tunapozidi kumwamini Mungu na kumtii kwa heshima na utukufu wake, imani yetu itazidi kuimarika.