Date: 
26-09-2018
Reading: 
Matthew 6:24-25

WEDNESDAY 26TH SEPTEMBER 2018 MORNING              

Matthew 6:24-25 New International Version (NIV)

24 “No one can serve two masters. Either you will hate the one and love the other, or you will be devoted to the one and despise the other. You cannot serve both God and money.

Do Not Worry

25 “Therefore I tell you, do not worry about your life, what you will eat or drink; or about your body, what you will wear. Is not life more than food, and the body more than clothes?

We need to put God first in our lives. This is a wise choice. We should not think that earning a lot of money and getting rich is the most important thing in life. Let us commit our lives to serving God and being a blessing in the world. God has promised to take care of our needs when we honor Him. 

JUMATANO TAREHE 26 SEPTEMBA 2018 ASUBUHI                    

MATHAYO 6:24-25

24 Hakuna mtu awezaye kutumikia mabwana wawili; kwa maana atamchukia huyu, na kumpenda huyu; ama atashikamana na huyu, na kumdharau huyu. Hamwezi kumtumikia Mungu na mali. 
25 Kwa sababu hiyo nawaambieni, Msisumbukie maisha yenu, mle nini au mnywe nini; wala miili yenu, mvae nini. Maisha je! Si zaidi ya chakula, na mwili zaidi ya mavazi? 

Tutafute kwanza Ufalme wa Mungu. Huu ni uchaguzi bora. Tusione kwamba kutafuta mali na utajiri ni kitu muhimu zaidi maishani. Tumtumikie Mungu na tuwe Baraka kwa wengine. Mungu ameahidi kututukuza kama tutamtumikia.