
TAREHE 15 MACHI 2015
ÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂÂ
Mwenyekiti Alen Lyatuu akifungua kikao

Mwenyekiti wa kwaya na Mama U. Kiangi kwapamoja wakifafanua jambo katika kikao

Makamu mwenyekiti wa kwaya mama D.Buchanagandi akiwakaribisha wageni katika kikao

Baaadhi ya walezi wa kwaya ya Upendo Bwana Godfrey Lwiza, Bibi Joyce Kasyanju na Mzee N.Buchanagandi (Kulia)
wakishiriki kikao kilichoandaliwa na uongozi wa kwaya ya Upendo

Kushoto Mwenyekiti wa Kwaya ya Upendo Bwana Lyatuu, katikati Mwalimu Tumaini na naibu katibu wa kwaya Mam J.Mhina
wakifuatilia jambo katika kikao

Kushoto ni mweka hazina msaidizi A.Olutu akifutiwa na mwanakati Dizaina Linda Felician wakifuatilia jambo katika kikao

Mwalimu Tumaini akitoa maelezo

Mwekahazina wa Kwaya kushoto mama M.Nkya akifuatilia jambo

Mwalimu Tumaini akiongoza kwaya baada ya kikao

Kwaya ya upendo ikifunga kikao kwa Wimbo
