Job 10:8-13 (Ayubu 10:8-13)
17-03-2018
Turn to God in prayer, he will answer your needs.. Njoo kwa Mungu kwa maombi, atajibu mahijati yako. {Pastor P. Chuwa}
Genesis 1:1-5 (Mwanzo 1:1-5)
16-03-2018
God is Eternal. He has always existed and always will exist..Mungu ni wa milele, alikuwepo na ataendelea kuwapo. {Pastor P. Chuwa}
Revelation 5:13 (Ufunuo 5:13)
15-03-2018
God our Creator is worthy of our praise...Mungu muumba wetu anastahili sifa. {Pastor P. Chuwa}
Genesis 3:23 (Mwanzo 3:23
12-03-2018
Pray that God would forgive your sins and make your work satisfying and productive. Tuombe Mungu atusamehe na abariki kazi zetu zizae matunda mema. {Pastor P. Chuwa}
2 Chronicles 20:1-5 (2 Nyakati
09-03-2018
What is troubling you today? Turn to God in prayer. Una shida gani inayokusumbua? Ilete kwa Mungu kwa kuomba. {Pastor P Chuwa}
Lamentations 5:1-22 (Maombolezo 5:1-22)
08-03-2018
God will hear and answer your prayer. Mungu anasikia na kujibu maombi. {Pastor P. Chuwa}
Acts 2:22-28 (Matendo 2:22-28)
07-03-2018
Thank God that the Gospel is still preached today and people are coming to faith all over the world. Tumshukuru Mungu Injili inaendelea kuhubiriwa na watu wanaokoka sehemu nyingi duniani. {Pastor P Chuwa}
Isaiah 49:22-26 (Isaya 49:22-26)
06-03-2018
God promises to restore and bless His people Israel. Mungu aliahidi kubariki na kuinua taifa lake Israeli. {Pastor P. Chuwa}
Genesis 4:1-15 NIV (Mwanzo 4:1-15)
03-03-2018
We need to beware of jealousy and be ready to receive correction. Tujihadhari na wivu na tuwe tayari kusahihishwa. {Pastor P. Chuwa}
Psalm 104:24, John 13:1-17, Genesis 1:31
02-03-2018
We are designed to be God’s Ambassadors here on earth and to rule on His behalf. Mungu alituumba ili kumwakilisha kutawala uumbaji wake hapa duniani. {Pastor P. Chuwa}

Pages