Nehemiah 1:1-11
08-05-2018
Nehemiah prayed for his people, you too can pray for others. ..Nehemia aliomba kwa ajili ya watu wake, wewe pia unaweza kuomba kwa ajili ya watu wengine.
1 Thessalonians 5:16-22; (1Wathesalonike 5:16-22)
07-05-2018
Let us begin and end each day in prayer. Tuanze na tumalize kila siku kwa kuomba. {Pastor P Chuwa}
1 Peter 5:1-4 (1 Petro 5:1-4)
20-04-2018
Let us pray for all Church leaders to do their work faithfully. Waombee viongozi wote wa kanisa wafanye kazi yao kwa uaminifu. {Pastor P Chuwa}
Isaiah 43:1-7 (Isaya 43:1-7)
19-04-2018
God loves all who come to him through Jesus Christ..Mungu anawapenda wote wanaokuja kwake kwa njia ya Yesu Kristo. {Pastor P. Chuwa}
John 6:66-71 (Yohana 6:66-71)
11-04-2018
Do you truly know Jesus? Are you willing to follow Him? Je! Unamfahamu vizuri Yesu Kristo? Uko tayari kumfuata? {Pastor P Chuwa}
Genesis 32:24-30 (Mwanzo 32:24-30)
09-04-2018
Do you meet with God? Is He speaking to you? Je! Unakutana na Mungu? Mungu anaongea nawe?
John 20:11-18 (Yohana 20:11-18)
07-04-2018
Christ has risen, have you heard him calling you? Yesu amefufuka, je umesikia akiuita?
1 Corinthians 15:1-8 (1 Wakorintho 15:1-8)
05-04-2018
The evidence of the resurrection of Jesus Christ is irrefutable. Ushahidi wa Yesu kufufuka haupingiki. {Pastor P. Chuwa}
Acts 13:34-40 (Matendo 13:34-40)
04-04-2018
Have you trusted the risen Lord Jesus as your Saviour?.. Je, umemwamini Yesu Kristo aliyefufuka kama Bwana na mwokozi wako?
John 19:1-7 (Yohana 19:1-7)
31-03-2018
Jesus Christ died so we can be reconciled with God..Yesu alikufa ili tupatanishwe na Mungu.

Pages