Genesis 18:6-15 (NIV) - 16-01-2017

Abraham was a man who was faithful to God. Abraham was also very hospitable to strangers. He welcomed the visitors who turned out to be angels with an important message for Abraham and his wife Sarah...Ibrahimu alikuwa mtu wa Imani kwa Mungu. Ibrahimu pia alikuwa mtu mkarimu. Ibahimu na mke wake Sara walikaribisha wageni watatu. Kumbe walikaribisha Malaika wa Mungu wenye ujumbe muhimu kwa Ibrahimu na Sara....[Presented by Pastor P. Chuwa]

Acts 10:44-48 - 10-01-2017

When Peter preached the Gospel the people believed and God confirmed their faith by giving them the Holy Spirit so that they started to speak in tongues. ..Petro alikuwa akihubiri Injili kwa kundi la watu wa Mataifa. Wasikilizaji wake waliamini na Mungu alithibitisha imani yao kwa kuwapa Roho Mtakatifu na walianza kunena kwa lugha. ...Presented by Pastor Chuwa