Date: 
16-04-2019
Reading: 
1 Peter 4:1-4

TUESDAY 16TH  APRIL 2019 MORNING                                    

1 Peter 4:1-4 New International Version (NIV)

Living for God

1 Therefore, since Christ suffered in his body, arm yourselves also with the same attitude, because whoever suffers in the body is done with sin.As a result, they do not live the rest of their earthly lives for evil human desires, but rather for the will of God. For you have spent enough time in the past doing what pagans choose to do—living in debauchery, lust, drunkenness, orgies, carousing and detestable idolatry. They are surprised that you do not join them in their reckless, wild living, and they heap abuse on you.

Christ suffered for us and died on the cross so that our sins can be forgiven and we can be reconciled to God. Let us also put to death all that is impure and sinful in our lives.

May God give us grace to love and obey God always.

JUMANNE TAREHE 16 APRILI 2019 ASUBUHI                               

1 PETRO 4:1-14

1 Basi kwa kuwa Kristo aliteswa katika mwili wake, ninyi nanyi jivikeni silaha ya nia ile ile; kwa maana yeye aliyeteswa katika mwili ameachana na dhambi. 
2 Tangu sasa msiendelee kuishi katika tamaa za wanadamu, bali katika mapenzi ya Mungu, wakati wenu uliobaki wa kukaa hapa duniani. 
3 Maana wakati wa maisha yetu uliopita watosha kwa kutenda mapenzi ya Mataifa; kuenenda katika ufisadi, na tamaa, na ulevi, na karamu za ulafi, na vileo, na ibada ya sanamu isiyo halali; 
4 mambo ambayo wao huona kuwa ni ajabu ya ninyi kutokwenda mbio pamoja nao katika ufisadi ule ule usio na kiasi, wakiwatukana. 

Yesu Kristo aliteseka  kwa ajili yetu. Alikufa kifo cha aibu na maumivu makali msalabani ili tuokolewe.

Tujitahidi kusulubu dhambi na tamaa za mwili na tumfuate Yesu Kristo kwa maisha matakatifu. Mungu atupe neema tuwe waaminifu.