Agape wakiimba katika ibada nyimbo zilizo kwenye CD.
¦
Chaplain Charles Mzinga akizindua rasmi albamu ya "Ninatafuta Faraja"
¦
Washarika wakinunua CD Wakati wa uzinduzi,
¦
Mlezi wa Kwaya ya Agape (Mzee Anord Kilewo) akimkabidhi Chaplain Charles Mzinga zawadi toka
Kwayaya Agape kwa utumishi bora katika kanisa kuu Azaia Front.