Date: 
22-01-2017
Reading: 
Psalm 104:25-31, Luke 4:38-44, Galatians 3:23-29 (NIV)

SUNDAY 22ND JANUARY 2017, THIRD SUNDAY AFTER EPIPHANY

THEME: JESUS REMOVES DISCRIMINATION

Psalm 104:25-31, Luke 4:38-44, Galatians 3:23-29

Psalm 104:25-31 New International Version (NIV)

25 There is the sea, vast and spacious,
    teeming with creatures beyond number—
    living things both large and small.
26 There the ships go to and fro,
    and Leviathan, which you formed to frolic there.

27 All creatures look to you
    to give them their food at the proper time.
28 When you give it to them,
    they gather it up;
when you open your hand,

    they are satisfied with good things.
29 When you hide your face,
    they are terrified;
when you take away their breath,

    they die and return to the dust.
30 When you send your Spirit,
    they are created,
    and you renew the face of the ground.

31 May the glory of the Lord endure forever;
    may the Lord rejoice in his works—

 

Luke 4:38-44  New International Version (NIV)

Jesus Heals Many

38 Jesus left the synagogue and went to the home of Simon. Now Simon’s mother-in-law was suffering from a high fever, and they asked Jesus to help her. 39 So he bent over her and rebuked the fever, and it left her. She got up at once and began to wait on them.

40 At sunset, the people brought to Jesus all who had various kinds of sickness, and laying his hands on each one, he healed them.41 Moreover, demons came out of many people, shouting, “You are the Son of God!” But he rebuked them and would not allow them to speak,because they knew he was the Messiah.

42 At daybreak, Jesus went out to a solitary place. The people were looking for him and when they came to where he was, they tried to keep him from leaving them. 43 But he said, “I must proclaim the good news of the kingdom of God to the other towns also, because that is why I was sent.” 44 And he kept on preaching in the synagogues of Judea.

 

Galatians 3:23-29  New International Version (NIV)

Children of God

23 Before the coming of this faith,[a] we were held in custody under the law, locked up until the faith that was to come would be revealed. 24 So the law was our guardian until Christ came that we might be justified by faith. 25 Now that this faith has come, we are no longer under a guardian.

26 So in Christ Jesus you are all children of God through faith, 27 for all of you who were baptized into Christ have clothed yourselves with Christ.28 There is neither Jew nor Gentile, neither slave nor free, nor is there male and female, for you are all one in Christ Jesus. 29 If you belong to Christ, then you are Abraham’s seed, and heirs according to the promise.

Footnotes:

  1. Galatians 3:23 Or through the faithfulness of Jesus … 23 Before faith came

 

Jesus Christ came to die for all people everywhere. He came for rich and poor, men and women. He came for people from all nations and tribes. Jesus loves us all.

May God help us as Christians to love one another and to respect all people. Today we are also celebrating our membership of the Christian Council of Tanzania. This is an organization of various protestant churches.  Find out more about this organization and support its work.

    

JUMAPILI TAREHE 22  JANUARI 2017 , SIKU YA BWANA YA 3 BAADA YA UFUNUO

WAZO KUU: YESU ANAONDOA UBAGUZI. SIKU YA CCT

Zaburi 104:25-31, Luka 4:38-44, Galatia 3:23-29

Zaburi 104:25-31

25 Bahari iko kule, kubwa na upana, Ndimo mlimo viendavyo visivyohesabika, Viumbe hai vidogo kwa vikubwa. 
26 Ndimo zipitamo merikebu, Ndimo alimo lewiathani uliyemwumba acheze humo. 
27 Hao wote wanakungoja Wewe, Uwape chakula chao kwa wakati wake. 
28 Wewe huwapa, Wao wanakiokota; Wewe waukunjua mkono wako, Wao wanashiba mema; 
29 Wewe wauficha uso wako, Wao wanafadhaika; Waiondoa pumzi yao, wanakufa, Na kuyarudia mavumbi yao, 
30 Waipeleka roho yako, wanaumbwa, Nawe waufanya upya uso wa nchi. 
31 Utukufu wa Bwana na udumu milele; Bwana na ayafurahie matendo yake. 
 

Luka 4:38-44

38 Akatoka katika sinagogi, akaingia katika nyumba ya Simoni. Naye mkwewe Simoni, mamaye mkewe, alikuwa ameshikwa na homa kali, wakamwomba kwa ajili yake. 
39 Akasimama karibu naye, akaikemea ile homa, ikamwacha; mara hiyo akaondoka, akawatumikia. 
40 Na jua lilipokuwa likichwa, wote waliokuwa na wagonjwa wenye maradhi mbali mbali waliwaleta kwake, akaweka mikono yake juu ya kila mmoja akawaponya. 
41 Pepo nao waliwatoka watu wengi, wakipiga kelele na kusema, Wewe u Mwana wa Mungu. Akawakemea, asiwaache kunena, kwa sababu walimjua kuwa ndiye Kristo. 
42 Hata kulipokucha alitoka akaenda mahali pasipokuwa na watu; makutano wakawa wakimtafuta-tafuta, wakafika kwake, wakataka kumzuia asiondoke kwao. 
43 Akawaambia, Imenipasa kuihubiri habari njema ya ufalme wa Mungu katika miji mingine pia; maana kwa sababu hiyo nalitumwa. 
44 Basi, alikuwa akihubiri katika masinagogi ya Galilaya.

 

  Galatia 3:23-29

23 Lakini kabla ya kuja ile imani tulikuwa tumewekwa chini ya sheria, tumefungwa mpaka ije ile imani itakayofunuliwa. 
24 Hivyo torati imekuwa kiongozi kutuleta kwa Kristo, ili tuhesabiwe haki kwa imani. 
25 Lakini, iwapo imani imekuja, hatupo tena chini ya kiongozi. 
26 Kwa kuwa ninyi nyote mmekuwa wana wa Mungu kwa njia ya imani katika Kristo Yesu. 
27 Maana ninyi nyote mliobatizwa katika Kristo mmemvaa Kristo. 
28 Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote mmekuwa mmoja katika Kristo Yesu. 
29 Na kama ninyi ni wa Kristo, basi, mmekuwa uzao wa Ibrahimu, na warithi sawasawa na ahadi.

 

Yesu anapenda watu wote. Yesu amefia msalabani kwa kila mtu duniani. Yesu anatukaribisha wote kutubu dhambi zetu na kumwamini. Yeye habagui watu.

Sisi Wakristo tunapaswa kupendana sisi kwa sisi na kuheshimu watu wote. Leo tunasherekea Jumuiya ya Kikristo Tanzania. Sisi na makanisa mengine ya Kiprotestanti ni wanachama. Tujifunze zaidi kuhusu chama hiki na kazi kinachoyofanya.