Date: 
09-08-2018
Reading: 
Proverbs 21:28-31 (Methali 21:28-31)

THURSDAY 9TH AUGUST 2018 MORNING                                 

Proverbs 21:28-31 New International Version (NIV)

28 A false witness will perish,
    but a careful listener will testify successfully.

29 The wicked put up a bold front,
    but the upright give thought to their ways.

30 There is no wisdom, no insight, no plan
    that can succeed against the Lord.

31 The horse is made ready for the day of battle,
    but victory rests with the Lord.

Let us commit all our ways into God’s hands.  God knows best. We cannot expect to succeed without His blessing.  Let us examine our lives. Remember God hears all our words, He sees what we do and God even knows what we are thinking. May God give us wisdom and guide us in all our ways.  

ALHAMISI TAREHE 9 AGOSTI 2018 ASUBUHI                         

MITHALI 21:28-31

28 Shahidi wa uongo atapotea; Bali mtu asikiaye atasema maneno yadumuyo. 
29 Asiye haki huufanya uso wake kuwa mgumu; Bali mtu mnyofu huzifikiri njia zake. 
30 Hapana hekima, wala ufahamu, Wala shauri, juu ya Bwana. 
31 Farasi huwekwa tayari kwa siku ya vita; Lakini Bwana ndiye aletaye wokovu.

Tujikabidhi kwa Mungu. Tumwombe Mungu atuongoze kila hatua katika maisha yetu. Tusijaribu kuwenda kwa njia zetu na akili zetu wenyewe, hatutafanikiwa. Tukumbuke Mungu anaona matendo yetu yote, anasikia maneno yetu yote, na Mungu pia anajua mawazo yetu yote. Mungu atuongoze kuishi maisha yanayompendeza.