Date: 
02-04-2019
Reading: 
Jeremiah 15:15-16

TUESDAY 2ND  APRIL 2019 MORNING                                         

Jeremiah 15:15-16 New International Version (NIV)

15 Lord, you understand;
    remember me and care for me.
    Avenge me on my persecutors.
You are long-suffering—do not take me away;

    think of how I suffer reproach for your sake.
16 When your words came, I ate them;
    they were my joy and my heart’s delight,
for I bear your name,

    Lord God Almighty.

The Prophet Jeremiah talks of eating God’s Words and delighting in them. That means that he found God’s Word to be his spiritual food to nourish his soul. He took God’s word into his heart and made it part of his life.

Do you value God’s Word and read and meditate upon it every day just as you value your physical food which sustains you life? Make a habit of spending time with God every day in prayer and Bible reading.  

JUMANNE TAREHE 2 APRILI 2019 ASUBUHI                                     

YEREMIA 15:15-16

15 Ee Bwana, unajua wewe; unikumbuke, unijilie, ukanilipie kisasi juu yao wanaoniudhi; usiniondoe kwa uvumilivu wako; ujue ya kuwa ni kwa ajili yako nilivyopatikana na mashutumu. 
16 Maneno yako yalionekana, nami nikayala; na maneno yako yalikuwa ni furaha kwangu, na shangwe ya moyo wangu; maana nimeitwa kwa jina lako, Ee Bwana, Mungu wa majeshi. 

Nabii Yeremia alisema ni kama amekula Neno la Mungu. Inamaanisha kwamba alijua uhai wake kiroho unategemea Neno la Mungu kama uhai wetu wa kimwili unavyotegemea chakula. Alisoma na kutafakari Neno la Mungu mpaka likawa sehemu ya maisha yake.  Je! Tunathamini Neno la Mungu hivi? Weka utaratibu wa kutenga muda malumu na Mungu kila siku kwa kuomba na kusoma Neno lake.