PROVERBS 10:1-7 (NIV)
08-11-2016
Proverbs of Solomon ....Methali za Mfalme Suleiman
Psalm 88:9-18, Revelation 7:9-12, Matthew 5:8 (NIV)
06-11-2016
How can we be pure in heart? By repenting our sins and trusting in Jesus Christ as our Lord and savior....Tutawezaje kuwa na moyo safi? Hatuwezi kwa nguvu zetu. Tuapaswa kumtegemea Mungu kila siku.
Luke 19:45-46 New International Version (NIV)
05-11-2016
Jesus wanted to see people worshipping God in spirit and in truth in the Jewish Temple in Jerusalem...Yesu alikasirika kuona Hekalu la Mungu kule Yerusalemu likitumiwa vibaya kwa ajili ya biashara.
2 Timothy 2:14-19 New International Version (NIV)
04-11-2016
The Apostle Paul is giving teaching to young Pastor Timothy. He emphasizes the importance of sound teaching in the church. ..Mtume Paulo anamfundisha Mchungaji Kijana Timotheo. Paulo anasisitiza umuhimu wa Mafundisho sahihi na kutumia vizuri Biblia.
THURSDAY 3rd NOVEMBER 2016 MORNING
03-11-2016
There is plenty of evidence that Jesus Christ is God’s son. ...Kuna ushuhuda wa kutosha kwamba Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu.
WEDNESDAY 2ND NOVEMBER 2016 MORNING
02-11-2016
We need a savior. We cannot make ourselves good enough to please God. That is why Jesus had to come to die for us...Binadamu wote tunahitaji Mwokozi. Sote tu wenye dhambi na hatuwezi kujiokoa......
2 Timothy 1:8-14 New International Version (NIV)
31-10-2016
This letter was written by the Apostle Paul to Timothy who was his spiritual son and a young Pastor....Mtume Paulo anamwandikia Timotheo mtoto wake wa kiroho na Mchungaji kijana.....
Psalm 46, Romans 3:19-20, John 2:13-17 (NIV)
30-10-2016
Today we remember how Martin Luther wrote 95 Theses on the church door in Wittenburg, Germany on 31st October 1517....Kila mwaka Jumapili ya mwisho wa mwezi wa kumi ni siku ya kukumbuka matengenezo ya Kanisa.....
Amos 5:11-12 New International Version (NIV)
28-10-2016
God speaks to the rich and powerful people through the Prophet Amos. God sees what they do and He is not happy. ..Mungu anasema na watu wake kupitia Nabii Amosi. Mungu anachukia tabia mbaya ya badhi ya matajiri ambao wanatesa maskini na kuwanyima haki...
PSALM 69:1-4 New International Version
27-10-2016
The Psalmist is feeling harassed and oppressed by his enemies. He calls out to God for justice and mercy. He asks God to help him... Mtunga zaburi anamlilia Mungu. Anajisikia kuteswa na maadui zake. Anamwomba Mungu huruma na haki.

Pages