Hebrews 9:1-20, Leviticus 16:15-22 (NIV)
13-04-2017
But Christ’s death once on the cross was sufficient to atone for the sins of the whole world..Yesu alikufa mara mmoja, na sadaka ya maisha yake ilitosha kulipa deni la dhambi ya watu wote ulimwenguni..{By Pastor P. Chuwa}
1 Timothy 1:12-17 (NIV)
12-04-2017
Think again about the wonderful message of Easter and trust in Jesus...Tafakari tena kuhusu ujumbe mzuri wa Pasaka na ukabidhi maisha yako kwa Yesu..{By Pastor P. Chuwa}
Hebrews 9:11-15 (NIV)
11-04-2017
Thank God that He loved you so much that He sent His only Son to die for you so that your sins can be forgiven...Mshukuru Mungu kwa sababu alikupenda sana na kumtoa Mwana wake wa kipekee, afe kwa ajili yako ili upatanishwe na Mungu mtakatifu...{By Pastor P. Chuwa}
Mark 11:15-19 (NIV)
10-04-2017
May God help us truly to worship Him in Spirit and truth.Mungu atusaidie kumwabudu katika Roho na Kweli. {By Pastor P Chuwa}
Psalm 139:9-14, 1 Timothy 1:12-17, Mark 11:1-10 (NIV)
09-04-2017
Pray that God would bless you and your family this Easter and help you to truly appreciate all that Jesus did for you. ..Mwombe Mungu akusaidie kusherekea vizuri msimu wa Pasaka na familia yako na kweli kumshukuru Yesu kwa yote liyokutendea. {By Pastor P. Chuwa}
Hebrews 10:1-7 (NIV)
08-04-2017
We do not need to add anything and we can do nothing to make the sacrifice more perfect...Hatuhitaji, wala hatuwezi, kuongeza kitu chochote ili sadaka ya Yesu iboreshwe...
Hebrews 8:1-6 (NIV)
06-04-2017
Thank God for His wonderful plan of salvation. Make sure you are trusting in Jesus as your Lord and Saviour. Mshukuru Mungu kwa mpango wake wa wokovu kwa watu wote. Uhakikishe kwamba unamtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako. .{By Pastor P. Chuwa}
Hebrews 7:23-27 (NIV)
06-04-2017
Jesus' death on the cross was the perfect sacrifice to reconcile all people to God..Yesu alijitoa kufa msalabani mara mmoja kwa ajili ya dhambi za watu wote. {By Pastor P. Chuwa}
Luke 23:8-12 (NIV)
05-04-2017
Jesus went through a lot of suffering shame, and death on the cross so that you and I can be saved, and reconciled to God. Yesu alikufa ili sisi tusamehewe na tupatanishwe na Mungu mtakatifu...By Pastor P. Chuwa}
Genesis 14:8-16 (NIV)
04-04-2017
Our battle is not physical but spiritual. We fight against Satan and the powers of darkness. ..Vita yetu si ya kimwili, bali tuna vita ya kiroho dhidi ya Shetani na nguvu za giza. ..{By Pastor P. Chuwa}

Pages