Thank God for His wonderful plan of salvation. Make sure you are trusting in Jesus as your Lord and Saviour. Mshukuru Mungu kwa mpango wake wa wokovu kwa watu wote. Uhakikishe kwamba unamtegemea Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wako. .{By Pastor P. Chuwa}
Hebrews 7:23-27 (NIV)
06-04-2017
Jesus' death on the cross was the perfect sacrifice to reconcile all people to God..Yesu alijitoa kufa msalabani mara mmoja kwa ajili ya dhambi za watu wote. {By Pastor P. Chuwa}
Luke 23:8-12 (NIV)
05-04-2017
Jesus went through a lot of suffering shame, and death on the cross so that you and I can be saved, and reconciled to God. Yesu alikufa ili sisi tusamehewe na tupatanishwe na Mungu mtakatifu...By Pastor P. Chuwa}
Genesis 14:8-16 (NIV)
04-04-2017
Our battle is not physical but spiritual. We fight against Satan and the powers of darkness. ..Vita yetu si ya kimwili, bali tuna vita ya kiroho dhidi ya Shetani na nguvu za giza. ..{By Pastor P. Chuwa}
Luke 12:54-59 (NIV)
03-04-2017
Let us try to live at peace with all people...Tuishi kwa amani na watu wote..{By Pastor P. Chuwa}
Psalm 119:121-128, Luke 23:8-12, 1 John 3:2-6 (NIV)
02-04-2017
Jesus is the peacemaker...Yesu ni Mpatanishi. {By Pastor P. Chuwa}
Deuteronomy 8:6-10 (NIV)
31-03-2017
God reminds his people to obey His commands and walk in His ways and to be thankful for all He has given them...Mungu anawasihi wawe watu wa shukrani pia watii amri zake na watembee katika njia za Mungu. {By Pastor P. Chuwa}
Exodus 16:11-15 (NIV)
31-03-2017
Jesus sustains our lives and He is the one who gives us Eternal Life...Tumshukuru Mungu anatupa chakula cha kimwili lakini tukumbuke pia umuhimu wa kusoma Neno la Mungu kila siku na kumtegemee Yesu kama Bwana na Mwokozi wetu. Yesu anatupa Uzima wa Milele.
Isaiah 64:6-12 (NIV)
30-03-2017
We are all sinners and we cannot do anything to please God in our own strength. . Sisi binadamu ni wenye dhambi na hatuwezi kumfurahisha Mungu kwa nguvu zetu wenyewe. {By Pastor P. Chuwa}
2 Corinthians 7:13-16 (NIV)
28-03-2017
Paul had sent Titus to visit the Church at Corinth to see their progress and to advise and encourage them..Mtume Paulo alimtuma Tito kutembelea Wakristo kule Korintho. Alitaka kujua hali yao na kuwatia moyo. ..{By Pastor P. Chuwa}