Mwiite Mungu leo, asikie hamu na shauku uliyo nayo juu yake ndani ya sauti yako..Cry out to God today and let Him hear the desperation in your voice and see it in your action.{By S. Jengo, Elder}
Anaowatafuta ni wale walio wanafunzi, yaani wale ambao wamemwamini na kumkubali Yesu Kristo na kujitoa kuitenda kazi yake pote walipo...Disciples are those who believe in, accept and take it upon themselves to spread the Gospel of Jesus Christ wherever they are.,{By S. Jengo, Elder}
Je unapita katika gumu lolote? Una uchungu ndani yako na hakuna awezaye kukufariji? Mgeukie Roho Mtakatifu naye atakupa faraja isiyokwisha katika Jina la Yesu!..Are you so sorrowful that all human attempts at comforting you have failed? The Holy Spirit will reach out and comfort You today, in the name Jesus..{By S. Jengo, Elder}
Unataka Mungu akusaidie! Mungu anatafuta watu walio tayari kutii! ..Are you seeking God! God wants to help us, but He is looking for those who can say "Yes Lord"..{By S. Jengo, Elder}
Today we remember the coming of The Holy Spirit upon the disciples giving them power to preach and evangelize...Leo ni Siku ya Pentekoste. Tunakumbuka jinsi Roho Mtakatifu alishukia wanafunzi kuwawezesha kumshuhudia Yesu...{By Pr. Chuwa}
We can not see Jesus with our physical eyes but through the Holy Spirit Jesus is everywhere..Hatumwoni Yesu kwa macho ya binadamu lakini yupo. Kwa njia ya Roho Mtakatifu Yesu yupo kila mahali .{By Pr. P Chuwa}