
JUMAPILI YA TAREHE 29/3/2015, KWAYA YA UPENDO ILIFANYA MAANDALIZI YA KUZINDUA ALBAM YAO MPYA KWA KUCHANGISHA WASHARIKA WA KANISA KUU AZANIAFRONT KATIKA IBADA YA SIKUKUU YA MITENDE

Mlezi wa Kwaya G.Lwiza akitoa maelekezo juu ya uzinduzi wa albam ya kwaya ya Upendo ambayo inategemewa kuzinduliwa mwezi wa
Mei 2015

Kwaya ya Upendo wakiimba ibadani

Mwalimu Tumaini akichangisha fedha za uzinduzi

Mwalimu Tumaini akiimbisha kwaya ya Upendo katika ibada ya siku ya mitende

Mwanakwaya Eliot akichangisha fedha za uzinduzi wa Albam

Mwanakwaya J.mhina akichangisha fedha za uzinduzi wa Albam

Mwanakwaya Linda akichangisha Fedha za uzinduzi

Mwenyekiti wa kwaya mstaafu mama Minja (kulia) na Mwenyekiti wa sasa A. Lyatuu (kushoto) na mwanakwaya Damarisi wakijadiliana
jambo katika kukusanya fedha za uzinduzi.

Mwenyekiti wa kwaya ya Upendo A.Lyatuu akichangisha fedha za uzinduzi

Mwimbaji mkongwe wa kwaya ya upendo mama M.Luhuwi (mwisho Kulia)akishiki katika uimbaji wa sikukuu ya ibada ya mitende

Nderemo na vifijo katika ibada ya siukuu ya mitende

Uimbaji ibadani

Waimbaji wakishangilia

Wanakwaya mama C. Itemba na Edga wakichangisha Fedha za uzinduzi wa albam

Wanakwaya, Naomi na Janeth wakichangisha Fedha za uzinduzi wa albam
(Picha na habari na Jane Mhina)
