Date: 
06-09-2016
Reading: 
Job 36:26-33

TUESDAY 6TH SEPTEMBER 2016 MORNING
Job 36 New International Version (NIV)
26 How great is God—beyond our understanding! The number of his years is past finding out.
27 “He draws up the drops of water, which distill as rain to the streams;
28 the clouds pour down their moisture and abundant showers fall on mankind.
29 Who can understand how he spreads out the clouds, how he thunders from his pavilion?
30 See how he scatters his lightning about him, bathing the depths of the sea.
31 This is the way he governs[d] the nations  and provides food in abundance.
32 He fills his hands with lightning and commands it to strike its mark.
33 His thunder announces the coming storm;  even the cattle make known its approach.

This morning we are reminded that God is incomprehensible; we cannot know him completely. We can have some knowledge about him, for the Bible is full of details about who God is, how we can
know him, and how we can have an eternal relationship with him.
However, we can never know enough to answer all of life’s questions because life always creates more questions than we have answers, and we must constantly go to God for fresh insight.

JUMANNE TAREHE 6 SEPTEMBA 2016 ASUBUHI
AYUBU 36:26-33
26 Tazama, Mungu ni mkuu, nasi hatumjui; Hesabu ya miaka yake haitafutiki.
27 Kwani yeye huvuta juu matone ya maji, Yamwagikayo katika mvua kutoka kungeni mwake;
28 Ambayo mawingu yainyesha Na kudondoza juu ya wanadamu kwa wingi.
29 Naam, mtu aweza kuelewa na matandazo ya mawingu, Ngurumo za makao yake? 
30 Tazama, yeye huutandaza mwanga wake, umzunguke; Naye hufunika vilindi vya bahari.
31 Kwani huwahukumu kabila za watu kwa njia hizi; Hutoa chakula kwa ukarimu.
32 Yeye huifunika mikono yake kwa umeme; Na kuuagiza shabaha utakayopiga.
33 Mshindo wake hutoa habari zake, Anayewaka hasira juu ya uovu.

Asubuhi ya leo tunakumbushwa kuwa Mungu wetu hatambulikani; yaani hatuwezi kumfahamu kikamilifu. Tunaweza kuwa na ufahamu kuhusu yeye, kwa kuwa Biblia imeeleza kwamba Mungu ni nani,
namna tunavyoweza kumjua, na namna tunavyoweza kuwa na uhusiano wa milele na yeye. Hata hivyo, hatuwezi kuwa na ufahamu kiasi cha kujibu maswali yote yahusuyo maisha kwa sababu kila
mara maisha huleta maswali mengi kuliko majibu tuliyo nayo, na ni lazima kila wakati tumwendee Mungu ili kupata ufahamu mpya.