Date: 
11-10-2016
Reading: 
Jeremiah 8:4-7 New International Version (NIV)

DAILY WORD

TUESDAY 11TH OCTOBER 2016 MORNING                              

Jeremiah 8:4-7 New International Version (NIV)

Sin and Punishment

“Say to them, ‘This is what the Lord says:

“‘When people fall down, do they not get up?
    When someone turns away, do they not return?
Why then have these people turned away?
    Why does Jerusalem always turn away?
They cling to deceit;

    they refuse to return.
I have listened attentively,
    but they do not say what is right.
None of them repent of their wickedness,

    saying, “What have I done?”
Each pursues their own course

    like a horse charging into battle.
Even the stork in the sky
    knows her appointed seasons,
and the dove, the swift and the thrush

    observe the time of their migration.
But my people do not know

    the requirements of the Lord.

God speaks to the Jewish people through the prophet Jeremiah. God complains that the people have not followed His laws and they have refused to repent of their sins.

Let us as Christians examine our lives. Let us check what the Bible teaches us about how to live. Let us repent of our sins and turn back to God. Then God will forgive us and heal us and bless us.

________________________________________________________________________________________________

JUMANNE TAREHE  11 OKTOBA 2016 ASUBUHI               

YEREMIAH 8:4-7

4 Tena utawaambia, Bwana asema hivi, Je! Watu wataanguka, wasisimame tena? Je! Mtu atageuka aende zake, asirudi tena? 
,5 Mbona, basi, watu hawa wa Yerusalemu wamegeuka waende nyuma, wasikome kugeuka hivyo? Hushika udanganyifu sana, hukataa kurudi. 
6 Nalisikiliza nikasikia, lakini walisema yasiyo sawa; hapana mtu aliyetubia maovu yake, akisema, Nimefanya nini? Kila mtu hurudia mwendo wake mwenyewe, kama farasi aendavyo kasi vitani. 
7 Naam, koikoi angani ajua nyakati zake zilizoamriwa; na hua na mbayuwayu na korongo huangalia wakati wa kuja kwao; bali watu wangu hawazijui amri za Bwana. 
 

Mungu anasema na watu wake kupitia Nabii Yeremia. Anawaonya watu kuhusu makosa na dhambi zao. Mungu anawasii watubu na kumrejea.

Sisi Wakristo wa leo. Je! Tunamtii Mungu? Tunamfuata sheria zake? Tunaishi maisha matakatifu? Tujichunguzi maisha yetu na mwenendo wetu. Tutubu dhambi zetu na tumrejee Mungu.