Date: 
18-01-2018
Reading: 
Ephesians 5:29-33 (Waefeso 5:29-33)

THURSDAY  18TH JANUARY 2018 MORNING               
Ephesians 5:29-33 New International Version (NIV)


29 After all, no one ever hated their own body, but they feed and care for their body, just as Christ does the church— 30 for we are members of his body. 31 “For this reason a man will leave his father and mother and be united to his wife, and the two will become one flesh.”[a] 32 This is a profound mystery—but I am talking about Christ and the church.33 However, each one of you also must love his wife as he loves himself, and the wife must respect her husband.


Footnotes:
Ephesians 5:31 Gen. 2:24


The Apostle Paul  likens the relationship between a husband and his wife to that between Jesus Christ and Christians.
He shows how deeply a husband and wife should be committed to one another and love honour and care for one another.
May God bless our marriages.  Pray for young people preparing for marriage that they would truly understand the meaning of marriage. 


ALHAMISI TAREHE 18 JANUARI 2018 ASUBUHI                  

EFESO 5:29-33

29 Maana hakuna mtu anayeuchukia mwili wake po pote; bali huulisha na kuutunza, kama Kristo naye anavyolitendea Kanisa. 
30 Kwa kuwa tu viungo vya mwili wake. 
31 Kwa sababu hiyo mtu atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe na hao wawili watakuwa mwili mmoja. 
32 Siri hiyo ni kubwa; ila mimi nanena habari ya Kristo na Kanisa. 
33 Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mumewe.
    
Mtume Paulo analinganisha uhusiano katika mume na mke na ile katika Yesu Kristo na Wakristo. Mume na Mke wanapaswa kujitoa kila mtu kwa mwenzake na kupendana, kutunzana na kuheshimiana.
Mungu abariki ndoa zetu. Tuombee vijana ambao wanajiandaa kuoana ili waelewe kweli maana ya ndoa.