Date: 
15-02-2017
Reading: 
Romans 3:21-26 (NIV)

WEDNESDAY  15TH FEBRUARY 2017 MORNING                    

Romans 3:21-26 New International Version (NIV)

Righteousness Through Faith

21 But now apart from the law the righteousness of God has been made known, to which the Law and the Prophets testify. 22 This righteousnessis given through faith in[a] Jesus Christ to all who believe. There is no difference between Jew and Gentile, 23 for all have sinned and fall short of the glory of God, 24 and all are justified freely by his grace through the redemption that came by Christ Jesus. 25 God presented Christ as a sacrifice of atonement,[b] through the shedding of his blood—to be received by faith. He did this to demonstrate his righteousness, because in his forbearance he had left the sins committed beforehand unpunished— 26 he did it to demonstrate his righteousness at the present time, so as to be just and the one who justifies those who have faith in Jesus.

Footnotes:

  1. Romans 3:22 Or through the faithfulness of
  2. Romans 3:25 The Greek for sacrifice of atonement refers to the atonement cover on the ark of the covenant (see Lev. 16:15,16).

 

When Rev Dr Martin Luther studied the above passage he obtained peace in his heart. He realized that his sins could be fully forgiven when he repented his sins and trusted in  the sacrifice of Jesus Christ on the cross. He realized that he was saved by faith and not by struggling to do good works.

You too can be saved by God’s Grace through faith in Jesus Christ. Thank God for this wonderful salvation.

JUMATANO TAREHE 15 FEBRUARI 2017 ASUBUHI                                 

RUMI 3:21-26

21 Lakini sasa, haki ya Mungu imedhihirika pasipo sheria; inashuhudiwa na torati na manabii; 
22 ni haki ya Mungu iliyo kwa njia ya imani katika Yesu Kristo kwa wote waaminio. Maana hakuna tofauti; 
23 kwa sababu wote wamefanya dhambi, na kupungukiwa na utukufu wa Mungu; 
24 wanahesabiwa haki bure kwa neema yake, kwa njia ya ukombozi ulio katika Kristo Yesu; 
25 ambaye Mungu amekwisha kumweka awe upatanisho kwa njia ya imani katika damu yake,ili aonyeshe haki yake ,kwa sababu ya kuziachilia katika ustahimili wa MUNGU dhambi zote zilzotangulia kufanywa. 
26 apate kuonyesha haki yake wakati huu, ili awe mwenye haki na mwenye kumhesabu haki yeye amwaminiye Yesu. 
 

Mch Dk Martin Luther akisoma na kutafakari maneno hayo juu, alipata amani moyoni. Alielewa kwamba wokovu na msamaha wa dhambi zake vinapatikana kwa Neema ya Mungu kwa kutubu dhambi zake na kuamini kifo cha Yesu Msalabani. Alielewa kwamba anaokolewa kwa neema kwa njia ya Imani, si kwa matendo mema.

Wewe pia unaweza kuokolewa kwa Neema ya Mungu kwa kutubu na kuamini Yesu Kristo na kifo chake msalabani.

Mshukuru Mungu kwa wokovu huu.