Date: 
15-03-2018
Reading: 
Revelation 5:13 (Ufunuo 5:13)

THURSDAY  15TH MARCH 2018 MORNING              

Revelation 5:13 New International Version (NIV)

13 Then I heard every creature in heaven and on earth and under the earth and on the sea, and all that is in them, saying:

“To him who sits on the throne and to the Lamb
    be praise and honor and glory and power,
for ever and ever!”

God our Creator is worthy of our praise. Many people do not praise Him now. In heaven God is praised. Start to praise God on earth in preparation for heaven. If we do not praise God on earth you will not reach heaven. Our whole life here on earth should be like a song of praise to God (See Romans 12:1).

ALHAMISI TAREHE 15 MACHI 2018 ASUBUHI      

UFUNUO WA YOHANA 5:13

13 Na kila kiumbe kilichoko mbinguni na juu ya nchi na chini ya nchi ya juu ya bahari, na vitu vyote vilivyomo ndani yake, nalivisikia, vikisema, Baraka na heshima na utukufu na uweza una yeye aketiye juu ya kiti cha enzi, na yeye Mwana-Kondoo, hata milele na milele. 

Mungu anapewa sifa mbinguni. Mungu anastahili kupata sifa zetu hapa duniani pia. Jiandae kwenda Mbinguni kwa kumsifu Mungu duniani. Ukikataa kumsifu Mungu duniani hutafika mbinguni. Maisha yetu mazima yanapaswa kuwa kama sifa kwa Mungu. (Tazama Rumi 12:1)