Date: 
22-11-2017
Reading: 
Revelation 18:15-20 NIV {Ufunuo 18:15-20}

WEDNESDAY 22ND NOVEMBER 2017

Revelation 18:15-20 New International Version (NIV)

15 The merchants who sold these things and gained their wealth from her will stand far off, terrified at her torment. They will weep and mourn 16 and cry out:

“‘Woe! Woe to you, great city,
    dressed in fine linen, purple and scarlet,
    and glittering with gold, precious stones and pearls!
17 In one hour such great wealth has been brought to ruin!’

“Every sea captain, and all who travel by ship, the sailors, and all who earn their living from the sea, will stand far off. 18 When they see the smoke of her burning, they will exclaim, ‘Was there ever a city like this great city?’ 19 They will throw dust on their heads, and with weeping and mourning cry out:

“‘Woe! Woe to you, great city,
    where all who had ships on the sea
    became rich through her wealth!
In one hour she has been brought to ruin!’

20 “Rejoice over her, you heavens!
    Rejoice, you people of God!
    Rejoice, apostles and prophets!
For God has judged her
    with the judgment she imposed on you.”

As it is written in the Word of God, final judgement will come, and the splendour of this world will be brought to ruin. Let us put our focus on God and his word, otherwise a great disappointment awaits. Pray that God helps you to be on the right side.

 

JUMATANO TAREHE 22 NOVEMBA 2017

Ufunuo wa Yohana 18:15-20  Bibilia Takatifu (SNT)

15 Wale wafanya biashara wa bidhaa hizo waliopata utajiri wao kwake watasimama mbali kabisa kwa kuogopa mateso yake, nao watalia na kuomboleza kwa nguvu wakisema, 16 ‘Ole wako! Ole wako! mji mkuu, ulikuwa umevikwa mavazi ya kitani safi, rangi ya zambarau na nyekundu, uking’aa kwa dhahabu na vito vya thamani na lulu! 17 Katika muda wa saa moja utajiri wote huu umeharibiwa!’ Manahodha wote, mabaharia na wote wasafirio baharini na wote wafanyao kazi melini watasimama mbali kabisa.

18 Watakapoona moshi wake wakati mji ukiteketezwa watalia wakisema, ‘Kuna mji gani ambao umepata kuwa kama mji huu mkuu?’ 19 Nao watajimwagia vumbi vichwani na kulia na kuomboleza wakisema, ‘Ole wako, Ole wako mji mkuu, mji ambapo wote wenye meli baharini walitajirika kwa mali yake! Maana katika saa moja tu umeteketezwa. 20 Fura hini juu yake, enyi mbingu, watakatifu na mitume na manabii; Kwa kuwa Mungu ameuhukumu kwa ajili yenu!”’

Kama ilivyoandikwa katika Neno la Mungu, hukumu ya mwisho itakuja, na fahari yote ya ulimwengu itaporomoshwa. Tukaze kumtazama Mungu na Neno lake ili tuokoke na fadhaiko kuu siku ya mwisho. Omba Mungu akusaidie kuwa upande mzuri.