Date: 
27-09-2018
Reading: 
Proverbs 22:1-4 (Mithali 22:1-4)

THURSDAY 27TH SEPTEMBER 2018 MORNING                    

Proverbs 22:1-4 New International Version (NIV)

1 A good name is more desirable than great riches;
    to be esteemed is better than silver or gold.

Rich and poor have this in common:
    The Lord is the Maker of them all.

The prudent see danger and take refuge,
    but the simple keep going and pay the penalty.

Humility is the fear of the Lord;
    its wages are riches and honor and life.

What are your priorities in life? Are you seeking to serve God and to live according to His laws or is your priority to get rich. There is great blessing in serving God. May God help us to be wise and humble. 

ALHAMISI TAREHE 27 SEPTEMBA 2018 ASUBUHI              

MITHALI 22:1-4

1 Heri kuchagua jina jema kuliko mali nyingi; Na neema kuliko fedha na dhahabu. 
Tajiri na maskini hukutana pamoja; Bwana ndiye aliyewaumba wote wawili. 
Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia. 
Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha Bwana Ni utajiri, na heshima, nayo ni uzima. 
 

Kipaumbele cha maisha yako ni kipi? Unatakaka kumtumikia Mungu na kuishi kufuatana na sheria zake au unatafuta kutajirika tu? Kuna baraka sana kwa kutumikia Mungu. Mungu atusaidia tuwe na hekima na unyenekevu.