FRIDAY 13th OCTOBER 2017 MORNING
Mark 7:8 New International Versions (NIV)
Let us not forsake the commandments of God
8 You have let go of the commands of God and are holding on to human traditions.”
Message
The meaning is not only for any particular commandment, but we have to abide ourselves to all the commandments of God, it means the whole written law. Public opinions should not be more powerful or influential in our daily life than God’s word.
IJUMAA YA TAREHE 13th OKTOBA 2017 ASUBUHI
Marko 7:8
Tusiziache Amri za Mungu
8 Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika mapokeo ya wanadamu.
Ujumbe
Maana yake ni kwamba sio amri yoyote, lakini tunapaswa kujifunga kuzishinda amri zote za Mungu, maana yake ni sheria nzima ilivyoandikwa au agizwa. Maoni ya umma au mawazo ya kijamii hayapaswi kuwa na ushawishi mkubwa zaidi katika maisha yetu ya kila siku kuliko neno la Mungu.