Date: 
11-10-2017
Reading: 
John 8:31-44 NIV { Yohana 8:31-44}

11th OCTOBER 2017 MORNING

John 8:31-44 New International Versions (NIV)

The character of being true disciple of Christ.

34 Jesus replied, “Very truly I tell you, everyone who sins is a slave to sin. 35 Now a slave has no permanent place in the family, but a son belongs to it forever. 36 So if the Son sets you free, you will be free indeed. 37 I know that you are Abraham’s descendants. Yet you are looking for a way to kill me, because you have no room for my word. 38 I am telling you what I have seen in the Father’s presence, and you are doing what you have heard from your father.”

 

MESSAGE

Keeping it or having God's word in us is a true character of Christ's disciple. The life of Christ needs to be interpreted by the word of Christ. Therefore, a Christian freedom is centered in the word of God.

 

 

JUMATANO YA TAREHE 11th OKTOBA 2017 ASUBUHI

Yohana 8:34-38

Tabia ya Kuwa Mwanafunzi wa Kweli ya Kristo

34 Yesu akawajibu, Amin, amin, nawaambia, Kila atendaye dhambi ni mtumwa wa dhambi. 

35 Wala mtumwa hakai nyumbani sikuzote; mwana hukaa sikuzote. 
36 Basi Mwana akiwaweka huru, mtakuwa huru kweli kweli.

37 Najua ya kuwa ninyi ni uzao wa Ibrahimu lakini mnatafuta kuniua kwa sababu neno langu halimo ndani yenu.

38 Niliyo yaona kwa Baba ndiyo niyanenayo; nanyi vivyo hivyo mliyoyasikia kwa baba yenu ndiyo myatendayo. 

 

UJUMBE

Kulishika au kuwa na neno la Mungu ndani yetu ni tabia ya Mwanafunzi wa kweli wa Kristo. Maisha ya mfuasi wa Kristo yanatakiwa kutawaliwa na neno la Kristo. Kwa hiyo, uhuru wa Mkristo ni kuwa na neno la Mungu.