Date: 
17-02-2018
Reading: 
Joel 2:12-14 NIV ( Yoeli 2:12-14 )

SATURDAY  17TH FEBRUARY 2018 MORNING                      

Joel 2:12-14 New International Version (NIV)

Rend Your Heart

12 “Even now,” declares the Lord,
    “return to me with all your heart,
    with fasting and weeping and mourning.”

13 Rend your heart
    and not your garments.
Return to the Lord your God,

    for he is gracious and compassionate,
slow to anger and abounding in love,

    and he relents from sending calamity.
14 Who knows? He may turn and relent
    and leave behind a blessing—
grain offerings and drink offerings

    for the Lord your God.

Repentance is an important part of this season of Lent. God spoke to the people through the Prophet Joel calling them to repent of their sins.  God is merciful to us when we turn from our sins and turn to Him in repentance. He will forgive our sins.

Let us draw close to God. Thank God that He loves you and that Jesus was willing to die for you so that your sins can be forgiven.

JUMAMOSI TAREHE 17 FEBRUARI 2018   ASUBUHI                   

YOELI  2:12-14

12 Lakini hata sasa, asema Bwana, nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote, na kwa kufunga, na kwa kulia, na kwa kuombolea; 
13 rarueni mioyo yenu, wala si mavazi yenu, mkamrudie Bwana, Mungu wenu; kwa maana yeye ndiye mwenye neema, amejaa huruma; si mwepesi wa hasira, ni mwingi wa rehema, naye hughairi mabaya. 
14 N'nani ajuaye kwamba hatarudi na kugeuka, na kutuachia baraka nyuma yake, naam, sadaka ya unga, na sadaka ya kinywaji, kwa Bwana, Mungu wenu? 
 

Katika kipindi hiki cha Kwaresma toba ni muhimu. Mungu alisema na watu kupitia Nabii Yoeli. Mungu alisihi watu wamrejee na kutubu dhambi zao. Mungu ni wa huruma na yuko tayari kutusamehe tukitubu na kuacha dhambi zetu. Mshukuru Mungu kwamba Yesu anakupenda na alikuwa tayari ya kukufia Msalabani ili kukuokoa.