Date: 
09-02-2018
Reading: 
Isaiah 55:6-11 NIV (Isaya 55:6-11)

FRIDAY 9TH FEBRUARY 2018 MORNING                   

Isaiah 55:6-11 New International Version (NIV)

Seek the Lord while he may be found;
    call on him while he is near.
Let the wicked forsake their ways
    and the unrighteous their thoughts.
Let them turn to the Lord, and he will have mercy on them,
    and to our God, for he will freely pardon.

“For my thoughts are not your thoughts,
    neither are your ways my ways,”
declares the Lord.
“As the heavens are higher than the earth,
    so are my ways higher than your ways
    and my thoughts than your thoughts.
10 As the rain and the snow
    come down from heaven,
and do not return to it
    without watering the earth
and making it bud and flourish,
    so that it yields seed for the sower and bread for the eater,
11 so is my word that goes out from my mouth:
    It will not return to me empty,
but will accomplish what I desire
    and achieve the purpose for which I sent it.

God’s Word is powerful and effective. When we read God’s Word or hear preaching and teaching based on God’s Word in the Bible we can be changed.  Be ready to read and listen to God’s Word. Think and pray about the message and ask God to change you so that you become more like Jesus. 

IJUMAA TAREHE 9 FEBRUARI 2018 ASUBUHI                    

ISAYA 55:6-11

Mtafuteni Bwana, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu; 
Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie Bwana, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa. 
Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema Bwana. 
Kwa maana kama vile mbingu zilivyo juu sana kuliko nchi, kadhalika njia zangu zi juu sana kuliko njia zenu, na mawazo yangu kuliko mawazo yenu. 
10 Maana kama vile mvua ishukavyo, na theluji, kutoka mbinguni, wala hairudi huko; bali huinywesha ardhi, na kuizalisha na kuichipuza, ikampa mtu apandaye mbegu, na mtu alaye chakula; 
11 ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma. 
 

Neno la Mungu lina nguvu. Tukisoma Biblia au kusikia mafundisho na mahubiri ya Neno la Mungu tuanaweza kubadilika. Soma sana Biblia na uombe Roho Mtakatifu akufundishe na ubadilike uwe takatifu  kama Yesu.