Date: 
02-07-2020
Reading: 
Hosea 11:1-7

THURSDAY 2ND JULY 2020  MORNING                                                   

Hosea 11:1-7 New International Version (NIV)

1 “When Israel was a child, I loved him,
    and out of Egypt I called my son.
But the more they were called,
    the more they went away from me.[a]
They sacrificed to the Baals
    and they burned incense to images.
It was I who taught Ephraim to walk,
    taking them by the arms;
but they did not realize
    it was I who healed them.
I led them with cords of human kindness,
    with ties of love.
To them I was like one who lifts
    a little child to the cheek,
    and I bent down to feed them.

“Will they not return to Egypt
    and will not Assyria rule over them
    because they refuse to repent?
A sword will flash in their cities;
    it will devour their false prophets
    and put an end to their plans.
My people are determined to turn from me.
    Even though they call me God Most High,
    I will by no means exalt them.

 

God punishes his people for disobedience. However, He continues to love his them despite their disobedience.

Our Father always desires to pick us up when we stumble and fall, and we, as His children, should seek His mercy as the lost sheep.


ALHAMISI TAREHE 02 JULAI 2020  ASUBUHI                                   

AYUBU 33:13-26

1 Israeli alipokuwa mtoto, nalikuwa nikimpenda, nikamwita mwanangu atoke Misri.
Kadiri walivyowaita ndivyo walivyoondoka na kuwaacha; waliwatolea dhabihu Mabaali, na kuzifukizia uvumba sanamu za kuchonga.
Lakini nalimfundisha Efraimu kwenda kwa miguu; naliwachukua mikononi mwangu; hawakujua ya kuwa naliwaponya.
Naliwavuta kwa kamba za kibinadamu, kwa mafungo ya upendo; nami nalikuwa kwao kama hao waondoao kongwa tayani mwao, nikaandika chakula mbele yao.
Hatarudi tena nchi ya Misri; bali huyo Mwashuri atakuwa mfalme wake; kwa sababu walikataa kurejea.
Na upanga utaiangukia miji yake, utayaharibu makomeo yake na kuyala, kwa sababu ya mashauri yao wenyewe.
Na watu wangu wamejipinda kuniacha; ingawa wawaita kwenda kwake Aliye juu, hapana hata mmoja atakayemtukuza.  

Mungu huwaadhibu watu wake pale wanapoziacha njia zake. Hata hivyo, anaendelea kuwapenda hata katika kuasi kwao. Baba yetu daima anatamani kutuinua pale tunapojikwaa na kuanguka, na sisi kama watoto wake, kila mara tuombe huruma zake kama kondoo waliopotea.