Mark 1:16-20
16-07-2020
We are saved by the grace of Jesus Christ. Tunaokolewa kwa neema ya Yesu Kristo.../Pastor J Mlaki.
1TIMOTHY 6:20-21 ( Timotheo 6:20-21)
15-07-2020
The most effective way to confront the false teachings is to know the Truth of scripture and proclaim that truth..Njia iliyo sahihi zaidi ya kupambana na mafundisho ya uongo ni kuijua kweli ya neno la Mungu na kuitangaza kweli hiyo.../Pastor J. Mlaki
2Timothy 2:11-13
14-07-2020
Christian can stand faithful as God empowers them. Mkristo anaweza kusimama kwa uaminifu  kadiri Mungu anavyomtia nguvu.../Pastor J Mlaki
1Timothy 6:3-5
13-07-2020
We have to become students of the Word and faithful in prayer. Tunapaswa kuwa wanafunzi wa neno na waaminifu katika kuomba. ../Pastor J Mlaki
1Samuel 3:15-21
08-07-2020
The result of sin and unbelief in others will fall on us if we do not warn them..Matokeo ya dhambi na kutoamini kwa wengine yatakuwa juu yetu ikiwa hatutachukua nafasi kuwaonya.../Pastor J Mlaki
Proverbs 2:6-7
07-07-2020
God is our shield and guard. Mungu ni ngao na mlinzi wetu.../Pastor J Mlaki.
1Timothy 1:18-20
06-07-2020
Fighting a good war means persevering in the faith. Kuvipiga vita vizuri ni kuvumilia na kudumu katika imani..?Pastor J Mlaki
Hosea 11:1-7
02-07-2020
God punishes his people for disobedience. Mungu huwaadhibu watu wake pale wanapoziacha njia zake.../Pastor J. Mlaki.
Acts 11:11-15
01-07-2020
Be good witnesses to what God had done for you. Uwe shaidi mwema wa mambo Mungu aliyokutendea.../Pastor J.Mlaki.
Exodus 13:13-14
30-06-2020
God can make a way where there seems to be no way. Mungu anaweza kutengeneza njia pasipo naa../Pastor J. Mlaki.

Pages