-
Furahini katika Bwana siku zote./ Heri Buberwa.
MATANGAZO YA USHARIKA
TAREHE 03 MACHI, 2024
SIKU YA BWANA YA 4 KABLA YA PASAKA
NENO LINALOTUONGOZA NI
TUMTAZAME BWANA ALIYE TUMAINI LETU
1. Tunawakaribisha wote tumwabudu Mungu wetu katika Roho na kweli.
2. Wageni: Hakuna Mgeni aliyetufikia kwa cheti.
3. Matoleo ya Tarehe 25/02/2024
4. Tunamshukuru Mungu aliyetupa afya ya kumwabudu na utayari wa kumtolea kwa hiari mali alizotupa kwa kazi yake.
NAMBA YA SADAKA KWA NJIA YA MTANDAO: