Date: 
18-10-2017
Reading: 
3 John 1:2-4 NIV (3 Yohana 1:2-4)

WEDNESDAY 18th OCTOBER 2017 MORNING

3 John1:2-4 New International Versions (NIV)

Success and Health are the result of knowing God

Dear friend, I pray that you may enjoy good health and that all may go well with you, even as your soul is getting along well. It gave me great joy when some believers came and testified about your faithfulness to the truth, telling how you continue to walk in it. I have no greater joy than to hear that my children are walking in the truth.

Message

God wants us to live a life of prosperity and health. The apostle Paul shows that success and health depend on true existence in our lives. It is our duty to live a life of integrity according to God's word or according to God's commandments so that we can be successful and healthy in our lives.

JUMATANO YA TAREHE 18th OKTOBA 2017 ASUBUHI

3 Yohana 1:2-4

Mafanikio na Afya ni Matokeo ya Kumjua Mungu

Mpenzi naomba ufanikiwe katika mambo yote na kuwa na afya yako, kama vile roho yako ifanikiwavyo. 3 Maana nalifurahi mno walipokuja ndugu na kuishuhudia kweli yako, kama uendavyo katika kweli. Sina furaha iliyo kuu kuliko hii, kusikia ya kwamba watoto wangu wanakwenda katika kweli.

Ujumbe

Mungu anapenda kutuona tukiishi maisha ya kufanikiwa na kuwa na afya. Mtume Paulo anaonesha kwamba mafanikio na afya vinategemea uwepo wa kweli katika maisha yetu. Maana yake ni wajibu wetu kuishi maisha ya uaminifu kulingana na neno la Mungu au kulingana na maagizo ya Mungu ili tuwe na mafanikio na afya katika maisha yetu.