Date: 
29-04-2021
Reading: 
2 Corinthians 4:7-15

THURSDAY 29TH APRIL 2021, MORNING     

2 Corinthians 4:7-15 New International Version (NIV)

But we have this treasure in jars of clay to show that this all-surpassing power is from God and not from us. We are hard pressed on every side, but not crushed; perplexed, but not in despair; persecuted, but not abandoned; struck down, but not destroyed. 10 We always carry around in our body the death of Jesus, so that the life of Jesus may also be revealed in our body. 11 For we who are alive are always being given over to death for Jesus’ sake, so that his life may also be revealed in our mortal body. 12 So then, death is at work in us, but life is at work in you.

13 It is written: “I believed; therefore I have spoken.”[b] Since we have that same spirit of[c] faith, we also believe and therefore speak, 14 because we know that the one who raised the Lord Jesus from the dead will also raise us with Jesus and present us with you to himself. 15 All this is for your benefit, so that the grace that is reaching more and more people may cause thanksgiving to overflow to the glory of God.

Human weakness is not a barrier to the purposes of God. He has blessed us in our weaknesses with His mighty works to show that the surpassing power belongs to God and not to us.

God is training us through trials and difficulties, so that we might be rather Cross-bearers, than a Cross makers.


ALHAMISI TAREHE 29 APRIL 2021  ASUBUHI                              

2 WAKORINTHO 4:7-15 

Lakini tuna hazina hii katika vyombo vya udongo, ili adhama kuu ya uwezo iwe ya Mungu, wala si kutoka kwetu.
Pande zote twadhikika, bali hatusongwi; twaona shaka, bali hatukati tamaa;
twaudhiwa, bali hatuachwi; twatupwa chini, bali hatuangamizwi;
10 siku zote twachukua katika mwili kuuawa kwake Yesu, ili uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika miili yetu.
11 Kwa maana sisi tulio hai, siku zote twatolewa tufe kwa ajili ya Yesu, ili uzima wa Yesu nao udhihirishwe katika miili yetu ipatikanayo na mauti.
12 Basi hapo mauti hufanya kazi ndani yetu, bali uzima ndani yenu.
13 Lakini kwa kuwa tuna roho ile ile ya imani; kama ilivyoandikwa, Naliamini, na kwa sababu hiyo nalinena; sisi nasi twaamini, na kwa sababu hiyo twanena;
14 tukijua ya kwamba yeye aliyemfufua Bwana Yesu atatufufua sisi nasi pamoja na Yesu, na kutuhudhurisha pamoja nanyi.
15 Kwa maana mambo yote ni kwa ajili yenu, ili neema hiyo ikiongezwa sana, kwa hao walio wengi shukrani izidishwe, na Mungu atukuzwe.

Udhaifu wa mwanadamu hauwezi kuwa kizuizi cha mpango wa Mungu. Katika udhaifu wetu, Yeye ametubariki kwa matendo yake makuu ili kudhihirisha kuwa nguvu kuu iliyo ndani yetu yatoka kwa Mungu na siyo kwetu.

Mungu anatufundisha kupitia shida na magumu, ili badala ya kuwa watengenezaji, tuwe wabeba msalaba.