Date: 
21-09-2018
Reading: 
1 Corinthians 1:26-31 (1 Korintho1:26-31)

FRIDAY 21ST September 2018

1 Corinthians 1:26-31 New International Version (NIV)

26 Brothers and sisters, think of what you were when you were called. Not many of you were wise by human standards; not many were influential; not many were of noble birth. 27 But God chose the foolish things of the world to shame the wise; God chose the weak things of the world to shame the strong. 28 God chose the lowly things of this world and the despised things—and the things that are not—to nullify the things that are, 29 so that no one may boast before him. 30 It is because of him that you are in Christ Jesus, who has become for us wisdom from God—that is, our righteousness, holiness and redemption. 31 Therefore, as it is written: “Let the one who boasts boast in the Lord.”[a]

Footnotes:

  1. 1 Corinthians 1:31 Jer. 9:24

We are chosen by God to do his work, therefore all the glory that comes out of it belongs to Him. Today we have many ministries that glorify their leaders instead of God. Pray that helps you not to fall into this trap.

IJUMAA TAREHE 21 SEPTEMBA 2018

1KORINTHO 1:26-31

26 Maana, ndugu zangu, angalieni mwito wenu, ya kwamba si wengi wenye hekima ya mwilini, si wengi wenye nguvu, si wengi wenye cheo walioitwa;
27 bali Mungu aliyachagua mambo mapumbavu ya dunia awaaibishe wenye hekima; tena Mungu alivichagua vitu dhaifu vya dunia ili aviaibishe vyenye nguvu;
28 tena Mungu alivichagua vitu vinyonge vya dunia na vilivyodharauliwa, naam, vitu ambavyo haviko, ili avibatilishe vile vilivyoko;
29 mwenye mwili awaye yote asije akajisifu mbele za Mungu.
30 Bali kwa yeye ninyi mmepata kuwa katika Kristo Yesu, aliyefanywa kwetu hekima itokayo kwa Mungu, na haki, na utakatifu, na ukombozi;
31 kusudi, kama ilivyoandikwa, Yeye aonaye fahari na aone fahari juu ya Bwana.

Tunachaguliwa na Mungu kufanya kazi yake, kwa hiyo utukufu wote unaotoka ndani yake ni wa Yeye. Leo tuna huduma nyingi zinazowatukuza viongozi wao badala ya Mungu. Omba Mungu akusaidie usiingie katika mtego huu.