Date: 
02-11-2016
Reading: 
WEDNESDAY 2ND NOVEMBER 2016 MORNING

WEDNESDAY 2 NOVEMBER 2016 MORNING                               

Romans 3:19-20 New International Version (NIV)

19 Now we know that whatever the law says, it says to those who are under the law, so that every mouth may be silenced and the whole world held accountable to God. 20 Therefore no one will be declared righteous in God’s sight by the works of the law; rather, through the law we become conscious of our sin.

We need a savior. We cannot make ourselves good enough to please God. That is why Jesus had to come to die for us. He died in our place. He was punished for our sins so that we can be reconciled to God. He rose in victory from the grave. Stop trying to please God in your own strength and admit that you need a saviour. Repent your sins and trust in Jesus.

 

JUMATANO TAREHE 2 NOVEMBA 2016 ASUBUHI                    

RUMI 3:19-20

19 Basi twajua ya kuwa mambo yote inenayo torati huyanena kwa hao walio chini ya torati, ili kila kinywa kifumbwe, na ulimwengu wote uwe chini ya hukumu ya Mungu; 
20 kwa sababu hakuna mwenye mwili atakayehesabiwa haki mbele zake kwa matendo ya sheria; kwa maana kutambua dhambi huja kwa njia ya sheria. 
 

Binadamu wote tunahitaji Mwokozi. Sote tu wenye dhambi na hatuwezi kujiokoa. Sheria inatuonyesha tu kwamba tumeshindwa kutii. Yesu ametufia msalabani. Yesu alilipa deni la dhambi zetu na amefufuka kama mshindi. Basi tubu dhambi zako na umwamini Yesu Kristo.