Event Date: 
22-06-2015

Ugeni huo ulikuwa na ujumbe wa watu 9, vijana 7 na wachungaji 2. Vijana walikuwa mchanganyiko wa kike na wa kiume. Pia katika wageni hao walikuwepo wafanya kazi , wanafunzi. Unna ni usharika ambao ni rafiki wa usharika wa Azania Front kwa miaka mingi sasa.

Sharika hizi mbili zimejiwekea utaratibu wa Vijana kutembeleana na kubadilishana mawazo katika kumtukuza na kukuza neno la mungu.

Wakiwa hapa nchini walitembelea maeneo ya kihistoria, vikundi vya kwaya madarasa ya Sunday school na kushiriki ibada ya nyumba kwa nyumba , mtaa wa Osterbay.

Mbali na hayo wameweza kutembelea shule za Kisarawe Junior Seminary na Mkuza girls School na mitaa mbalimbali inayotunzwa na usharika wa Azania front.

unna 2015visitors02

unna 2015visitors03

Juu-Mwalimu Tumaini wa kwaya ya Upendo akiwakaribisha wageni kutoka ujerumani, Mzee Joshua Minja mmoja kati ya wanakwaya ya

Upendo akijitambulisha kwa wageni walipowatembelea wakifanya mazoezi. Unna Visitors being introduced to Upendo Choir during

practise.

unna 2015visitors04

Mch. Frank akiwatambulisha wenzake kwa wanakwaya wa Upendo. Pastor Frank introducing his delegation to Upendo Kwaya

unna 2015visitors05

Lucas, mmoja wa vijana wageni akieleza jambo. Lucas, one of the young visitors, explaining something to Upendo Choir.

unna 2015visitors06

Wageni wakiwaimbia wanakwaya wa Upendo, Singing before Upendo Choir

unna 2015visitors08

Mwalimu wa kwaya ya Upendo akikabidhi zawadi ya CD kwa Mch. Frank. Mr. Tumaini, trainer of Upendo choir, presenting a CD to Pastor

Frank

unna 2015visitors09

Mwalimu wa kwaya kuu akitambulisha kwaya kuu kwa wageni wakati wa mazoezi. Trainer of Main Choir introducing his members during

practise

unna 2015visitors12

Mch. Frank akitambulisha aliofuatana nao kwa Kwaya Kuu. Pastor Frank Introducing his delegation to Main Kwaya.

unna 2015visitors13

Wageni wakiimba mbele ya kwaya kuu. Singing before Main Choir

unna 2015visitors14

Mwl. Abisai akiongoza kwaya kuu wakiwaimbia wageni wimbo wakati wa mazoezi. Mr. Abisai conducting during Choir Practice with

visitors

unna 2015visitors15

Mch. Andreas akihubiri. Pastor Andreas preaching.

unna 2015visitors16

Mchungaji Kiongozi Mzinga akiwatambulisha wageni kwa washarika. Chaplain Mzinga introducing visitors to the congregation

unna 2015visitors17

 Mch Frank-kati-akitoa zawadi ya usharika. Pastor Frank presenting a Gift to Azaniafront congregation.

unna 2015visitors18

Ni mfano wa Nyota kubwa watakayoitoa kupamba kanisa wakati wa Christmas. It's a model of a larger version that will be presented

for decorating the church in Christmas season.

unna 2015visitors21

Wageni wakiimba ibadani jumapili. Visitors singing in the Sunday service

unna 2015visitors22

 

Mch. Mzinga akiwa na Mch. Andreas wakati wa kumaliza ibada nje ya kanisa.

unna 2015visitors23

unna 2015visitors24

Mzee Cuthbert Swai wa kamati ya Uhusiano akiwa na wageni baada ya ibada. Elder Cuthbert Swai of partnership commitee with visitors

after the service.

unna 2015visitors28

Mch. Frank akikabidhi mfanyo wa nyota kumbwa kama zawadi ya usarika. Pastor Frank presenting a gift of a large model of a star.

unna 2015visitors30

Wageni wakiimba katika ibada. Visitors singing during the service

unna 2015visitors31

 

unna 2015visitors33

Mama Aida Mwakisu na Mzee George Mnyitafu, wote wakiwa ni wajumbe wa kamati ya Uhusiano wakipokea zawadi kwa niaba ya usharika.

Aida Mwakisu and George Mnyitafu, members of the Partnership commitee, receiving the gift of a star on behalf of the congregation.

unna 2015visitors35

Mama Aida Mwakisu akitoa neno la shukrani. Ms Aida giving a word of thanks.

unna 2015visitors36

Wageni wakifuatilia ibada

unna 2015visitors39

Wachungaji wakisalimiana na wazee wa Zamu baada ya ibada. Pastors exchanging greetings with church elders after the service

unna 2015visitors40

Mch. Stephanie (Kushoto) akiwa na wageni baada ya ibada ya kiingereza. Pastor Stephanie with visitors after english service

unna 2015visitors41

 

Wageni na wenyeji wakishiriki chakula cha mchana. Visitors and hosts having lunch together.

unna 2015visitors42

 

unna 2015visitors43

unna 2015visitors45

unna 2015visitors46

unna 2015visitors47

unna 2015visitors48

unna 2015visitors49

Balozi Somi (kushoto) mjumbe wa kamati ya Uhusiano, akishiriki chakula na wageni. Ambassador Somi (left) with visitors during lunch.

unna azaniafront 2015visitors eng service01

 

Mch. Stephanie akipiga kinanda wakati wa ibada ya Kiingereza. Pastor Stephanie playing the Piano during the English service.

unna azaniafront 2015visitors eng service02

 

Mch. Chuwa na baadhi washarika wa ibada ya kiingereza. Pastor Chuwa with some of the congregation of the English service

unna azaniafront 2015visitors eng service03

 

Baadhi ya wageni wakiwa katika ibada ya kiingereza. Some of the visitors attending the English service.

unna azaniafront 2015visitors eng service04

 

Washarika wakiwa kwenye ibada

unna azaniafront 2015visitors eng service08

Kwaya ikiimba. English service Choir singing.

unna azaniafront 2015visitors eng service09

 

Drasa la pili la shule ya Jumapili ibada ya kiingereza. The second session sunday school of english service.

unna azaniafront 2015visitors eng service11

Wageni wakijitambulisha katika ibada ya kiingereza. Visitors introduction to the English service.

unna azaniafront 2015visitors eng service13

Kikundi cha "The Voice" walioalikwa wakiimba katika ibada hiyo. Invited Acapela group "The Voice" singing during the service.

unna azaniafront 2015visitors eng service14

Washarika wakisalimiana na wageni baada ya ibada. Visitors exchanging greetings with the English congregation after the service.

Angalia picha nyingine hapa.....View more photos here

Picha za walipotembelea Mkuza Girls.......Photos of Mkuza Girls visit

Picha za kikao cha tathmini........Evaluation meeting photos

Picha za mwisho............ Farewell dinner photos.