Date: 
12-11-2016
Reading: 
Revelation 21:9-11 New International Version (NIV)

SATURDAY  12TH NOVEMBER 2016 MORNING             

Revelation 21:9-11  New International Version (NIV)

The New Jerusalem, the Bride of the Lamb

One of the seven angels who had the seven bowls full of the seven last plagues came and said to me, “Come, I will show you the bride, the wife of the Lamb.” 10 And he carried me away in the Spirit to a mountain great and high, and showed me the Holy City, Jerusalem, coming down out of heaven from God. 11 It shone with the glory of God, and its brilliance was like that of a very precious jewel, like a jasper, clear as crystal.

This whole chapter is a vision of heaven. Heaven is where God is. It is a wonderful Holy place. Let us remember that our life here on earth is preparation for heaven. We can not go to heaven by our own efforts. We need to receive the gift of salvation by faith in Jesus Christ who died for us. We need to repent of our sins every day. We need to keep close to  God and to ask for His guidance in our lives. 

JUMAMOSI TAREHE 12 NOVEMBA 2016 ASUBUHI      

UFUNUO  21:9-11

9 Akaja mmoja wa wale malaika saba waliokuwa na vile vitasa saba vilivyojaa yale mapigo saba ya mwisho, naye akanena nami, akisema, Njoo huku, nami nitakuonyesha yule Bibi-arusi, mke wa Mwana-Kondoo. 
10 Akanichukua katika Roho mpaka mlima mkubwa, mrefu, akanionyesha ule mji mtakatifu, Yerusalemu, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mwenyezi Mungu; 
11 wenye utukufu wa Mungu, na mwangaza wake ulikuwa mfano wa kito chenye thamani nyingi kama kito cha yaspi, safi kama bilauri; 
 

Mlango huu nzima ni maono kuhusu mbinguni. Mbinguni ni mahali Mungu alipo. Ni mahali pa furaha na amani tele. Tamani kuingia Mbinguni. Maisha hapa duniani ni maandalizi ya kwenda mbinguni. Lakini hutaweza kuingia kwa nguvu zako bila msaada wa Mungu. Mwamini Yesu Kristo. Pokea zawadi ya wokovu kwa kumtegemea Yesu Kristo aliyekufia msalabani. Tubu dhambi zako kila siku na utafute kuongozwa na Roho Mtakatifu kila siku.